Jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni, wilaya ya Magharibi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja ambalo limefunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Ni wajibu wenu kutumia utaalamu katika majukumu -Makamu wa Rais

  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wanaotoa huduma katika sekta ya afya kutoa Huduma bora.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa jengo la kituo cha Mama na Mtoto katika hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya maadhimisho ya shamrashamra za kutimiza miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Makamu wa Rais ametoa rai kwa Wataalamu wa Afya nchini kutambua kuwa wanatakiwa kutumia utaalamu wao katika kuokoa maisha ya mama na mtoto ili kuepuka vifo vitokanavyo na uzazi kwa ajili ya kujenga Taifa lenye kizazi imara.
Jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni,
Jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni, wilaya ya Magharibi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja ambalo limefunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • “Ni wajibu wenu kutumia utaalamu wenu na jukumu mlilopewa na Taifa katika kuleta mabadiliko ya kiutendaji na ufanisi katika sekta ya afya nchini” alisema Makamu wa Rais.
  • Jengo la Kituo cha Mama na Mtoto ni la ghorofa mbili na limegharimu jumla ya shilingi 3, 648,400,000/- na kuzingatia watu wenye mahitaji maalumu.
Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa KMKM Komodoo Hassan Mussa Mzee wakati akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Huduma zitakazopatikana kwenye jengo hilo la ghorofa mbili ni Huduma ya Mama na Mtoto, Wodi ya Wazazi na Watoto,Huduma ya Upasuaji kwa Mama Wajawazito, Huduma ya Vipimo X Ray, Utra Sound na Maabara, Ofisi za huduma za madaktari, wauguzi na wahudumu wengineo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi Ali Abeid Karume (MB), Waziri wa Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo wakati akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Mradi huu wa ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto ni utekelezaji kwa vitendo wa malengo halisi ya mwasisi wa Mapinduzi Matukufu za Zanzibar ya mwaka 1964 marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambaye alidhamiria kuimarisha huduma ya Afya kwa wakulima.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi ya pongezi mara baada ya kukata utepe kuashiri uzinduzi wa jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar wengine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheir (kulia) na kushoto ni Mkuu wa KMKM Komodoo Hassan Mussa Mzee
  • Uzinduzi wa Jengo hilo umerahisisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa wakazi wa maeneo ya Kibweni, Mwanyanya, Bububu, Mbuzini, Mtoni, Kama, Mfenesini, Mahonda, Mtopepo na maeneo mengine.
NDANI YA HOSPTALI
Muonekano wa ndani wa Hosptali hiyo.
  • Kwa upande mwingine Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheir amesema Serikali itaendelea kusimamia yale yanayopaswa kutekelezwa haswa kwenye huduma za Afya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Sehemu ya waliohudhuria
Sehemu ya waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WANANCHI WANA WAJIBU WA KUEJIEPUSHA NA VITENDO VYOTE VINAVYOKWENDA KINYUME NA SHERIA NA KANUNI ZILIZOWEKWA NA (ZEC) NA (NEC) – RAIS DKT SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi …

43 Maoni

  1. жк казань купить квартиру от застройщика https://nedvizhimost-47.ru

  2. Kylian Mbappe https://kylianmbappe.prostoprosport-ar.com is a French footballer, striker for Paris Saint-Germain and captain of the French national team. He began playing football in the semi-professional club Bondi, which plays in the lower leagues of France. He was noticed by Monaco scouts, which he joined in 2015 and that same year, at the age of 16, he made his debut for the Monegasques. The youngest debutant and goal scorer in the club’s history.

  3. buy tiktok followers buy tiktok followers

  4. Продажа подземных канализационных ёмкостей https://neseptik.com по выгодным ценам. Ёмкости для канализации подземные объёмом до 200 м3. Металлические накопительные емкости для канализации заказать и купить в Екатеринбурге.

  5. Maria Sharapova https://maria-sharapova.prostoprosport-ar.com Russian tennis player. The former first racket of the world, winner of five Grand Slam singles tournaments from 2004 to 2014, one of ten women in history who has the so-called “career slam”.

  6. Экспертиза ремонта в квартире https://remnovostroi.ru проводится для оценки качества выполненных работ, соответствия требованиям безопасности и стандартам строительства. Специалисты проверяют используемые материалы, исполнение работ, конструктивные особенности, безопасность, внешний вид и эстетику ремонта. По результатам экспертизы составляется экспертное заключение с оценкой качества и рекомендациями по устранению недостатков.

  7. Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.prostoprosport-fr.com English footballer, midfielder of the Spanish club Real Madrid and the England national team. In April 2024, he won the Breakthrough of the Year award from the Laureus World Sports Awards. He became the first football player to receive it.

  8. Karim Mostafa Benzema https://karim-benzema.prostoprosport-fr.com French footballer, striker for the Saudi club Al-Ittihad . He played for the French national team, for which he played 97 matches and scored 37 goals.

  9. Philip Walter Foden https://phil-foden.prostoprosport-fr.com better known as Phil Foden English footballer, midfielder of the Premier club -League Manchester City and the England national team. On December 19, 2023, he made his debut at the Club World Championship in a match against the Japanese club Urawa Red Diamonds, starting in the starting lineup and being replaced by Julian Alvarez in the 65th minute.

  10. Kylian Mbappe Lotten https://kylian-mbappe.prostoprosport-fr.com Footballeur francais, attaquant du Paris Saint-Germain et capitaine de l’equipe de France. Le 1er juillet 2024, il deviendra joueur du club espagnol du Real Madrid.

  11. Declan Rice https://declan-rice.prostoprosport-fr.com Footballeur anglais, milieu defensif du club d’Arsenal et de l’equipe nationale equipe d’Angleterre. Originaire de Kingston upon Thames, Declan Rice s’est entraine a l’academie de football de Chelsea des l’age de sept ans. En 2014, il devient joueur de l’academie de football de West Ham United.

  12. Declan Rice https://declan-rice.prostoprosport-fr.com Footballeur anglais, milieu defensif du club d’Arsenal et de l’equipe nationale equipe d’Angleterre. Originaire de Kingston upon Thames, Declan Rice s’est entraine a l’academie de football de Chelsea des l’age de sept ans. En 2014, il devient joueur de l’academie de football de West Ham United.

  13. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thhibaut-courtois.prostoprosport-fr.com Footballeur belge, gardien de but du club espagnol du Real Madrid . Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Triple vainqueur du Trophee Ricardo Zamora

  14. Jamal Musiala https://jamal-musiala.prostoprosport-fr.com footballeur allemand, milieu offensif du club allemand du Bayern et du equipe nationale d’Allemagne. Il a joue pour les equipes anglaises des moins de 15 ans, des moins de 16 ans et des moins de 17 ans. En octobre 2018, il a dispute deux matchs avec l’equipe nationale d’Allemagne U16. En novembre 2020, il a fait ses debuts avec l’equipe d’Angleterre U21.

  15. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-br.com Futebolista noruegues, atacante do clube ingles Manchester City e Selecao da Noruega. Detentor do recorde da Premier League inglesa em gols por temporada.

  16. Philippe Coutinho Correia https://philippecoutinho.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, midfielder of the English club Aston Villa, playing on loan for the Qatari club Al-Duhail. He is known for his vision, passing, dribbling and long-range ability.

  17. Kaka https://kaka.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, meio-campista. O apelido “Kaka” e um diminutivo de Ricardo. Formado em Sao Paulo. De 2002 a 2016, integrou a Selecao Brasileira, pela qual disputou 92 partidas e marcou 29 gols. Campeao mundial 2002.

  18. Ederson Santana de Moraes https://edersonmoraes.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, goleiro do clube Manchester City e da Selecao Brasileira . Participante do Campeonato Mundial 2018. Bicampeao de Portugal pelo Benfica e pentacampeao de Inglaterra pelo Manchester City.

  19. Virgil van Dijk https://virgilvandijk.prostoprosport-br.com Futebolista holandes, zagueiro central, capitao do clube ingles Liverpool e capitao do a selecao holandesa.

  20. Roberto Carlos da Silva Rocha https://roberto-carlos.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, left back. He was also capable of playing as both a central defender and a defensive midfielder. World champion 2002, silver medalist at the 1998 World Championships.

  21. Thomas Mueller https://thomasmueller.prostoprosport-br.com is a German football player who plays for the German Bayern Munich. Can play in different positions – striker, attacking midfielder. The most titled German footballer in history

  22. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-cz.org je norsky fotbalista, ktery hraje jako utocnik za Anglicky klub Manchester City a norska reprezentace. Rekordman anglicke Premier League v poctu golu za sezonu.

  23. Edson Arantes do Nascimento https://pele.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, forward (attacking midfielder. Played for Santos clubs) and New York Cosmos. Played 92 matches and scored 77 goals for the Brazilian national team.

  24. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  25. Rodrigo Silva de Goiz https://rodrygo.prostoprosport-cz.org Brazilsky fotbalista, utocnik Realu Madrid a brazilskeho narodniho tymu. V breznu 2017 byl Rodrigo povolan do narodniho tymu Brazilie U17 na zapasy Montague Tournament.

  26. Romelu Menama Lukaku Bolingoli https://romelu-lukaku.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, utocnik anglickeho klubu Chelsea a Belgican vyber. Na hostovani hraje za italsky klub Roma.

  27. Azerbaijan NFL https://nfl.com.az News, analysis and topics about the latest experience, victories and records. A portal where the most beautiful NFL games in the world are generally studied.

  28. Harry Kane’s journey https://bavaria.harry-kane-cz.com from Tottenham’s leading striker to Bayern’s leader and Champions League champion – this is the story of a triumphant ascent to the football Olympus.

  29. Lionel Messi https://inter-miami.lionel-messi-fr.com legendary Argentine footballer, announced his transfer to the American club Inter Miami.

  30. Latest news on the Vinicius Junior fan site https://vinisius-junior.com. Vinicius Junior has been playing since 2018 for Real Madrid (Real Madrid). He plays in the Left Winger position.

  31. Explore the dynamic world of sports https://noticias-esportivas-br.org through the lens of a sports reporter. Your source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of all sports.

  32. Find out the story of Jon Jones https://ufc.jon-jones-fr.biz in the UFC: his triumphs, records and controversies, which made him one of the greatest fighters in the MMA world.

  33. The fascinating story of the creation and rapid growth of Facebook https://facebook.mark-zuckerberg-fr.biz under the leadership of Mark Zuckerberg, who became one of the most influential technology entrepreneurs of our time.

  34. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  35. Ousmane Dembele’s https://paris-saint-germain.ousmanedembele-br.com rise from promising talent to key player for French football giants Paris Saint-Germain. An exciting success story.

  36. Пансионаты для пожилых людей https://moyomesto.ru в Самаре по доступным ценам. Специальные условия по уходу, индивидуальные программы.

  37. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  38. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  39. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *