Wizara ya katiba na Sheria imezindua ushirikiano wa Mamlaka Kuu za Sheria nchini zitakazokaa pamoja kubainisha uwezo na changamoto zinazoikabili sekta ya sheria nchini na kuzifanyia kazi ili kuongeza ufanisi wa sekta hiyo na hivyo kutoa mchango stahiki kwa taifa. Ushirikiano huo umezinduliwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 14, 2019
TFDA NI YA KWANZA BARANI AFRIKA KWA MIFUMO BORA YA UDHIBITI
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema katika kipindi Cha Miaka mitatu imeweza kufanya mambo mbalimbali ya udhibiti wa usalama, ubora na usalama wa bidhaa za ndani na nje ya Nchi ikiwemo kutambulika kimataifa kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya ISO 9001: 2015. Hii ni kutokana na mafanikio ya miaka mitatu …
Soma zaidi »UJENZI WA MRADI WA UMEME RUFUJI KUANZA RASMI MWENZI JUNI
Imeelezwa kuwa ujenzi wa mradi wa umeme wa Rufiji utakaozalisha megawati 2115 unatarajiwa kuanza rasmi tarehe 15 mwezi Juni mwaka huu. Hayo yalielezwa jana na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani katika eneo utakapotekelezwa mradi huo wilayani Rufiji mkoani Pwani mara baada ya kukagua kazi za ujenzi wa miundombinu wezeshi …
Soma zaidi »DAWASA YATATUA TATIZO LA MAJI KATA YA WAZO NA VITONGOJI VYAKE
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wa Kata ya Wazo kupata maji kwa kipindi chote kwa mwaka mzima bila kukatika. DAWASA imewekeza zaidi kwa kujenga tanki kubwa litakalikuwa likizalisha lita milioni sita tofauti na mwanzo ilipokuwa ikizalisha lita elfu sitini tu kwa mwaka. …
Soma zaidi »