Kikao cha Nne cha Mawaziri mbalimbali kutoka Uganda na Tanzania wanaohusika na utekelezaji wa mradi wa bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania kinatarajiwa kufanyika leo jijini Kampala ambapo Mawaziri hao wanatarajiwa kupata taarifa za majadiliano yaliyokuwa yakifanyika kati ya Timu ya Kitaifa ya Majadiliano (GNT) ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 25, 2019
MABORESHO UJENZI WA RELI YA ZAMANI (MGR): UJENZI WA TUTA JIPYA,MAKARAVATI NA UWEKAJI WA RELI WAENDELEA KWA KASI KIDETE-GODEGODE MKOANI MOROGORO
LIVE KUTOKA SERENA HOTEL:NGUVU YA WENGI INAVYOCHANGIA KUKUZA UCHUMI NA KULETA MAENDELEO
Wachangiaji wenye uzoefu mbalimbali nchini wanazungumza. Ni majadiliano katika mjadala unaoitwa THE BIG BREAKFAST unaoongzwa na kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Tv . Bofya link hii kufuatilia
Soma zaidi »TANZANIA KUNUFAIKA NA MRADI WA KUZALISHA TAKWIMU ZINAZOHUSIANA NA JINSIA
Msikilize Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akifafanua kuhusu mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia. [soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/564293745″ params=”color=#ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&show_teaser=true&visual=true” width=”100%” height=”300″ iframe=”true” /]
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS – CONGO IMEANDIKA HISTORIA MPYA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Congo imeandika historia mpya kwa kukabidhiana madaraka kwa upendo na ana imani Viongozi wataendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya maendeleo na maslahi mapana ya nchi yao. Makamu wa Rais ambaye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri …
Soma zaidi »