- Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani wataondokana na tatizo la umeme baada ya transfoma yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240 kuwasili. Transfoma hiyo itakiongezea uwezo kituo cha Ubungo kutoka MVA 300 hadi 600 sawa na MW 480. Kazi hii itakamilika Mwezi Mei mwaka huu
- Naye Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka amesema kuwa upatikanaji wa nishati ya umeme kama nguzo ya muhimu ya ujenzi wa Tanzania yenye viwanda, na kwasasa Serikali kupitia TANESCO inatekeleza miradi mikubwa ya umeme 22 kwa wakati mmoja na kwa kutumia fedha za Serikali.
Tags MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI UMEME VIJIJINI WIZARA YA NISHATI
Unaweza kuangalia pia
TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa …