UBORESHAJI WA RELI YA KATI KUTOKA DAR – ISAKA WAFIKIA 10%

Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP kutoka Dar es Salaam hadi Isaka yenye urefu wa kilometa 900 pamoja na uboreshaji wa tuta na kuweka reli mpya zenye uwezo wa kubeba mzigo mkubwa na kwenda kasi zaidi ya kilometa 70 kwa saa ili kuokoa muda na kutoa huduma ya uhakika ya usafiri wa reli,mradi umefika 10% hadi mwezi huu wa februari.

Kazi kubwa inayofanyika ni kubadilisha reli ya zamani ambayo ilijengwa mwaka 1905 na kuweka reli mpya sambamba na ukarabati wa madaraja madogo na makubwa.

Ad

msikilize mratibu wa mradi wa TIRP Eng.Mlemba Singo akielezea kazi kubwa inayofanyika kwasasa

[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/569015832″ params=”color=#ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&show_teaser=true&visual=true” width=”100%” height=”300″ iframe=”true” /]

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI NYUMBA ZA MAAFISA NA ASKARI WA MAGEREZA, UKONGA DSM

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki hafla ya Kukabidhi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *