Maktaba ya Kila Siku: February 7, 2019

SERIKALI YA TANZANIA NA MISRI KUSAINIANA MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUANZISHA MASHAMBA MAKUBWA YA PAMOJA

Serikali ya Tanzania na Misri zinatarajia kusainiana mkataba wa makubaliano wa kuanzisha mashamba makubwa ya pamoja kwa lengo la kuinua kilimo cha ngano, mpunga na pamba Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga mara baada ya kufanya mazungumzo na timu ya Wataalamu wa kilimo kutoka Misri wakiongozwa na Waziri …

Soma zaidi »

SERIKALI YATENGA TRIL 3 KUMALIZA MIRADI YA MAJI MIJINI NA VIJIJINI

Serikali imetenga zaidi ya sh Tril. 3 kwa ajili ya miradi ya maji mijini na vijijini ili kuhakikisha tatizo la maji linamalizika kabisa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amesema hadi sasa miradi mikubwa 477 inatekelezwa vijijini huku …

Soma zaidi »