Mafundi na wahandisi wa Kampuni ya FEERUM SA wakikamilisha ujenzi wa msingi wa moja ya maghala katika Mradi wa Ujenzi wa Maghala na Vihenge vya Kisasa vya kuhifadhia chakula unaojengwa na Serikali katika eneo la Kizota jijini Dodoma, Februari 13, 2019. Ujenzi huo umepangwa kukamilika Desemba mwaka huu

UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGA VYA KISASA UNAVYENDELEA DODOMA

MAFUNDI
Mafundi na wahandisi wa Kampuni ya FEERUM SA wakikamilisha ujenzi wa msingi wa moja ya maghala katika Mradi wa Ujenzi wa Maghala na Vihenge vya Kisasa vya kuhifadhia chakula unaojengwa na Serikali katika eneo la Kizota jijini Dodoma, Februari 13, 2019. Ujenzi huo umepangwa kukamilika Desemba mwaka huu
MAFUNDI
Mafundi na wahandisi wa Kampuni ya FEERUM SA wakikamilisha ujenzi wa msingi wa moja ya maghala katika Mradi wa Ujenzi wa Maghala na Vihenge vya Kisasa vya kuhifadhia chakula unaojengwa na Serikali katika eneo la Kizota jijini Dodoma, Februari 13, 2019. Ujenzi huo umepangwa kukamilika Desemba mwaka huu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI KUTOINGILIA TAALUMA YA UKAGUZI WA HESABU ZA FEDHA

Serikali imeeleza kuwa haina mpango wa kuingilia taaluma ya ukaguzi wa hesabu nchini kwa kuondoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *