Maktaba ya Kila Siku: February 18, 2019

VITUO VYA AFYA 350 VITAKUWA VIMEKAMILIKA NCHI NZIMA NDANI YA MIAKA TANO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema vituo vya afya 350 vitakuwa vimekamilika nchi nzima ndani ya miaka mitano ya Uongozi wa Awamu ya tano Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati alipotembelea kituo cha afya cha Sokoine wilayani ya Singida mkoa wa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZINDUA MATREKTA MAWILI AINA YA URSUS

Kiwanda cha Kuunganisha Trekta za Ursus ni kiwanda kinachosimamiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) ambapo huunganisha Trekta zinazokuja kwa vipande kutoka nchini Poland. Kiwanda hicho kilianza rasmi kufanya kazi Aprili, 2017 ambapo ni moja ya matunda ya kauli mbiu ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya ujenzi …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NISHATI AWATAKA WANA-PWANI WACHANGAMKIE UMEME WA REA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ametoa rai kwa wananchi wa Mkoa wa Pwani, hususan wanaopitiwa na Mradi wa Umeme Vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kuchangamkia fursa hiyo kutokana na unafuu wa gharama zake. Alitoa rai hiyo kwa nyakati tofauti akiwa katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa …

Soma zaidi »

SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UPATIKANAJI WA ELIMU KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Serikali  imesema kipaumbele kikubwa katika sekta ya elimu kwa sasa ni kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalum wanakuwa na mazingira salama na rafiki katika mchakato wa kujifunza ili kuwawezesha kupata elimu bora. Kauli ya Serikali imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansina Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu wakati …

Soma zaidi »