Maktaba ya Kila Siku: February 21, 2019

MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI TABORA

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Tabora ambapo atatembelea Wilaya zote saba (7) za  Igunga, Nzega, Uyui, Sikonge, Kaliua, Urambo na Tabora . Lengo la ziara ni kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ili kujionea utekelezaji …

Soma zaidi »

WACHIMBAJI WADOGO WILAYANI MBOGWE KUPATA UMEME NDANI YA SIKU KUMI

Wachimbaji wadogo katika machimbo ya Nyakafuru yaliyo katika Kijiji cha Nyakafuru wilayani Mbogwe wameonesha kufurahishwa na ahadi ya Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ya kufikisha umeme katika machimbo hayo ndani ya siku kumi. Ahadi hiyo aliitoa jana mara baada ya kufanya ziara ya kikazi wilayani Mbogwe mkoani Geita ambapo …

Soma zaidi »

GAIRO SASA KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA MWISHONI MWA MWEZI WA 3 2019

Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe, amewahakikishia wananchi wa Gairo kuondokana na tatizo la ukosefu wa maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mtambo wa kuchuja chumvi. Mkuu wa Wilaya amesema kuwa mtambo huo ambao unatengenezwa nchini Italy unatarajiwa kukamilika mwezi machi 2019. Kwa upande wao Wenyeviti wa …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI IRAMBA MKOANI SINGIDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo na amefanya ziara katika wilaya ya Iramba mkoani Singida. Katika Wilaya ya Iramba Makamu wa Rais alitembelea kiwanda cha muwekezaji mzawa cha kusindika alizeti cha Yaza …

Soma zaidi »