Maktaba ya Kila Siku: February 27, 2019

SEKTA BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI JUU YA MAFUNZO YA KUWAANDAA WATANZANIA KUSHIKA NYADHIFA ZA JUU ZA UONGOZI KATIKA MAKAMPUNI

Jukwaa La Taasisi ya Wakurugenzi na wamiliki wa makampuni binafsi Tanzania(CEOrt) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira limekuja na mpango maalum wa kuwawezesha watanzania kushika nyadhifa za juu za Uafisa Mtendaji Mkuu (CEOs) na Ukurugenzi Mtendaji (MDs) katika Makampuni na Taasisi mbalimbali kupitia mafunzo ya kuwajengea …

Soma zaidi »

SERIKALI ITAENDELEA KULINDA NA KUKUZA HAKI ZA BINADAMU -PROF KABUDI

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kutekeleza wajibu wake wa kukuza na kulinda haki za binadamu na ustawi wa jamii kama kipaumbele chake na  itaendelea kushirikiana na Baraza hilo kuhakikisha haki za binadamu nchini na duniani kote zinadumishwa. Prof. Kabudi …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NISHATI ATAKA BUSARA ITUMIKE KUUNGANISHA UMEME VIJIJINI

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kutumia busara katika kazi hiyo ili iwaongoze kufanya maamuzi sahihi hususan uunganishaji umeme katika taasisi na miradi ya umma. Alitoa wito huo kwa nyakati tofauti jana, Februari 25 mwaka huu, akiwa katika ziara ya kazi wilayani Nachingwea, …

Soma zaidi »

SERIKALI INASOGEZA HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Shinyanga tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 5. Makamu wa Rais ambaye amesafiri kwa njia ya barabara akitokea mkoani Tabora ambapo napo alikuwa na ziara yenye lengo la kuhamasisha na kukagua shughuli za kimaendeleo. …

Soma zaidi »