Rais wa Shirikisho la Viwanda vya Misitu Tanzania ( SHIVIMITA) Ben Sulus akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu kuhusu kuongezewa muda wa mikataba kutoka miaka miwili hadi miaka mitano ya kupewa vitalu vya miti katika Shamba la Miti la Sao Hill lililopo mkoani Iringa wakati Washirika hao walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.

WAMILIKI WA VIWANDA VYA MISITU WAHAKIKISHIWA KUONGEZEWA MIKATABA

  • Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii. Mhe. Constantine Kanyasu amewahakikishia wamiliki wa viwanda vya misitu Tanzania kuwa atashughulikia ombi lao la kutaka kuongezewa muda wa mikataba yao kutoka  miaka miwili hadi  mitano ya kupewa mgao wa vitalu vya miti
  • Pia ameahidi kuyafanyia kazi malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa ofisini kwake na wamiliki hao yakiwemo ya gharama za tozo ya ushuru wa mazao ya misitu  (Cess) inayotozwa na Halmashauri za wilaya ya Mufindi ambayo licha  Serikali kutoa maagizo ya kuzuia tozo hiyo bado wadau hao wanaendelea kutozwa.
MISITU-1
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akisalimia na baadhi ya Wanachama wa Shirikisho la Viwanda vya misitu Tanzania mara baada ya kufanya mazungumzo nao kuhusu ombi la kuongezewa muda wa mikataba kutoka miaka miwili hadi miaka mitano ya kupewa vitalu vya miti katika Shamba la Miti la Sao Hill lililopo mkoani Iringa wakati Washirika hao walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma
  • Mhe. Kanyasu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Viwanda vya Misitu Tanzania (SHIVIMITA) na Wanachama wa Shirikisho hilo  waliomtembelea ofisini kwake  jijini Dodoma.
  • Katika mazungumzo hayo,  Rais wa SHIVIMITA, Ben Sulus amemuomba Naibu Waziri  aangalie  namna ya kuwasaidia wadau hao waongezewe muda wa mikataba kutoka miaka miwili hadi mitano ya kupewa mgao wa vitalu vya misitu ili waweze kupata mikopo kutoka kwenye Taasisi za Kifedha kwa ajili ya kuendeshea viwanda vyao
  • Rais huyo ameeleza kuwa Taasisi za Kifedha  zimekuwa zikiwanyima  mikopo kwa kuhofia fedha zao kupotea kutokana na wadau hao kutokuwa na uhakika wa kuongezewa mikataba mara baada ya mikataba yao ya kuvuna magogo ya miaka miwili waliyopewa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS).
  • Amesema  endapo watapewa mikataba  ya miaka mitano watakuwa na uhakika wa kuweza kuendeleza viwanda vyao kwa vile Taasisi hizo za Kifedha zitaweza kuwapa mikopo watakayoomba na  zitakuwa na uhakika wa kurudishiwa  fedha hizo.
  • Katika hatua nyingine, Wadau hao wamemuomba awe mlezi wao katika jitihada wanazozichukua za kuhakikisha wanakuwa wazalishaji wa bidhaa za mwisho kama vile milango pamoja na meza   zitokanazo na mbao badala ya kujikita kuuza mbao tu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA MAADHIMISHO MIAKA 60 YA TANAPA NA NCAA MKOANI MARA

93 Maoni

  1. Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.

  2. The fascinating story of Gigi Hadid’s rise to Victoria’s Secret Angel https://victorias-secret.gigi-hadid-fr.com status and her journey to the top of the modeling industry.

  3. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  4. How Taylor Swift https://midnights.taylor-swift-fr.com reinvented her sound and image on the intimate and reflective album “Midnights,” revealing new dimensions of her talent.

  5. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  6. The iconic Anfield https://enfield.liverpool-fr.com stadium and the passionate Liverpool fans are an integral part of English football culture.

  7. The new Premier League https://premier-league.chelsea-fr.com season has gotten off to an intriguing start, with a new-look Chelsea looking to return to the Champions League, but serious challenges lie ahead.

  8. Discover Rafael Nadal’s https://mls.inter-miami-fr.com impressive rise to the top of world tennis, from his debut to his career Grand Slam victory.

  9. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  10. The fascinating story of the phenomenal rise and meteoric fall of Diego Maradona https://napoli.diegomaradona.biz, who became a cult figure at Napoli in the 1980s.

  11. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  12. The fascinating story of Marcus Rashford’s rise https://manchester-united.marcusrashford-br.com from academy youth to the main striker and captain of Manchester United. Read about his meteoric rise and colorful career.

  13. онлайн казино Dragon Money Dragon Money

  14. официальный сайт Dragon Money https://web-kulinar.ru

  15. Хотите научиться готовить самые изысканные и сложные торты? В этом https://v1.skladchik.org/tags/tort/ разделе вы найдете множество подробных пошаговых рецептов самых трендовых и известных тортов с возможностью получить их за сущие копейки благодаря складчине. Готовьте с удовольствием и открывайте для себя новые рецепты вместе с Skladchik.org

  16. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  17. O meio-campista Rafael Veiga leva https://palmeiras.raphaelveiga-br.com o Palmeiras ao sucesso – o campeonato brasileiro e a vitoria na Copa Libertadores aos 24 anos.

  18. Midfielder Rafael Veiga leads https://manchester-city.philfoden-br.com Palmeiras to success – the championship Brazilian and victory in the Copa Libertadores at the age of 24.

  19. Selena Gomez https://calm-down.selenagomez-br.net the story from child star to global musical influence, summarized in hit “Calm Down”, with Rema.

  20. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  21. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

  22. Anderson Silva https://killer-bees-muay-thai-college.andersonsilva.net was born in 1975 in Curitiba Brazil. From a young age he showed an interest in martial arts, starting to train in karate at the age of 5.

  23. Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior-ar.com the Brazilian prodigy whose full name is Vinicius Jose Baixao de Oliveira Junior, has managed to win the hearts of millions of fans around the world in a short period of time.

  24. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  25. Всем привет! Может кто знает, где найти разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://konditsioneri-shop.ru

  26. Pedro Gonzalez Lopez https://barcelona.pedri-ar.com known as Pedri, was born on November 25, 2002 in the small town of Tegeste, located on Tenerife, one of the Canary Islands.

  27. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  28. Harry Kane https://bayern.harry-kane-ar.com one of the most prominent English footballers of his generation, completed his move to German football club Bayern Munich in 2023.

  29. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  30. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  31. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  32. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  33. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  34. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  35. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  36. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  37. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  38. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  39. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  40. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  41. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  42. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  43. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *