WATALII 312 KUTOKA CHINA KUTEMBELA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI Matokeo ChanyA+ March 6, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania, Tanzania MpyA+ Acha maoni 674 Imeonekana Afisa Ubalozi wa Tanzania Ndugu Lusekelo Gwassa akihutubia waandishi wa habari wa Jimbo la Zhejiang wakati wa hafla ya kutangaza safari ya watalii 312 kutoka Jimbo hilo kwenda Tanzania ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) na Touchroad Group Afisa Ubalozi wa Tanzania Ndugu Lusekelo Gwassa akihutubia waandishi wa habari wa Jimbo la Zhejiang wakati wa hafla ya kutangaza safari ya watalii 312 kutoka Jimbo hilo kwenda Tanzania ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya Bodi ya Utalii Tanzania na Touchroad Group. Kwa mujibu wa Bank kuu ya Tanzania mwaka 2018 taifa liliingiza dola 2.44 bilioni kupitia sekta ya utalii. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest