Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Machi, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Urusi ulioongozwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Urusi katika masuala ya Afrika ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe. Mikhail Bogdanov, Ikulu Jijini …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 13, 2019
TAARIFA MUHIMU KUTOKA TANESCO
• INAHUSU UFAFANUZI WATAARIFA ZILIZOTOLEWA MTANDAONI KUHUSU: – TATIZO LA KUKATIKA MARA KWA MARA UMEME MKOANI RUVUMA – BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi Juu ya taarifa iliyotolewa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO imesikitishwa na matumizi madogo ya …
Soma zaidi »TANZANIA YAINGIA MAKUBALIANO NA BRAZIL KUINUA KILIMO CHA PAMBA
Tanzania na Brazil zimeingia makubaliano ya kuinua kilimo cha Pamba ili kiwe na tija kwa wakulima nchini. Makubaliano hayo yamejili wakati ambapo Brazil ipo katika hatua kubwa za kimageuzi ya kilimo huku ikiwa na mafanikio makubwa katika sekta hiyo ambapo unatekelezwa katika nchi tatu za Burundi, Kenya na Tanzania. Mradi …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU RAIS WA KENYA
WAZIRI WA FEDHA – UJENZI WA SGR UNAENDELEA VIZURI KAMA ULIVYOPANGWA
Waziri Fedha na MIpango Dr Philip Mpango amesema Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Standard Gauge: Ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro (km 300) unaendelea vizuri kama ilivyopangwa, ambapo shughuli zinazoendelea ni ujenzi wa madaraja, makalavati, daraja lenye urefu wa km 2.54 katikati ya jiji …
Soma zaidi »MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 WAFUNGULIWA KAMPALA NCHINI UGANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ili kuibadili Afrika Viongozi wake lazima wawekeze kwa Vijana na Watoto. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati akihutubia kwenye mkutano wa Africa Now Summit 2019 jijini Kampala nchini Uganda. “Viongozi lazima wahakikishe wanawekeza kwenye lishe bora …
Soma zaidi »