Huduma za Maji Mijini na Vijijini: Miradi 65 imekamilika na kufanya jumla ya miradi yote iliyokamilika kufikia 1,659 na vituo vya kuchotea maji kuongezeka hadi 131,370 na kuhudumia wananchi 25,359,290. Upatikanaji wa huduma za maji Jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 85, katika mikoa mingine asilimia 80, miji midogo asilimia …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 14, 2019
MRADI WA UMEME WA STIEGLER’S GORGE WAKAMILISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU WEZESHI
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20,Upande wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji Rufiji – MW 2,115: Hatua iliyofikiwa ni: kupatikana kwa mkandarasi wa mradi wa kufua umeme utokanao na nguvu ya maji katika Mto …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI UGANDA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli pamoja na wasaidizi wake imeamua kufanya kazi kwa bidii sana kukuza uchumi wake. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati alipokutana na Viongozi wa Watanzania wanaoishi nchini Uganda katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort jijini …
Soma zaidi »