Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya Mwenyekiti, Mariamu Ditopile Mzuzuri, imeipongeza Serikali kwa kutekeleza mradi wa umeme wa Makambako- Songea (kV 220) ambao umewezesha Mikoa ya Ruvuma na Njombe kupata umeme wa uhakika kutoka Gridi ya Taifa. Kamati hiyo, imetoa pongezi hizo wilayani Songea, Mkoa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 16, 2019
MIRADI YA KIMKAKATI 37 INATEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI 29 NCHINI
Miradi ya Kimkakati ya kuongeza mapato katika Halmashauri: Hatua iliyofikiwa ni utekelezaji wa miradi ya kimkakati 37 ya kuongeza mapato ya halmashauri na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali ikijumuisha Soko la kisasa – manispaa ya Morogoro, soko la kisasa – halmashauri ya mji Kibaha, Pwani, ghala …
Soma zaidi »UJENZI WA MIUNDOMBINU YA RADA UMEFIKIA ASILIMIA 90
Ufungaji wa rada nne za kuongozea ndege za kiraia JNIA, KIA, Mwanza na Songwe: Hatua iliyofikiwa ni: JNIA: Kukamilika kwa asilimia 95 ya miundombinu ya rada. Mwanza: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea vizuri. KIA: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea na umefikia asilimia 90. Songwe: taratibu za ujenzi wa …
Soma zaidi »