KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MRADI WA UMEME WA MAKAMBAKO – SONGEA

  • Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya Mwenyekiti, Mariamu Ditopile Mzuzuri, imeipongeza Serikali kwa kutekeleza mradi wa umeme wa Makambako- Songea (kV 220) ambao umewezesha Mikoa ya Ruvuma na Njombe kupata umeme wa uhakika kutoka Gridi ya Taifa.
WAZIRI WA NISHATI
Kaimu Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu kituo cha kupoza umeme cha Songea ambacho kimejengwa kupitia mradi wa umeme wa Makambako-Songea. Wa Pili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mariamu Ditopile Mzuzuri.
  • Kamati hiyo, imetoa pongezi hizo wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, baada  ya kukagua utekelezaji wa mradi huo ambao umehusisha ujenzi wa njia ya umeme ya msongo kV 220 kutoka Makambako hadi Songea, ujenzi wa Vituo vya kupoza umeme vya Makambako, Madaba na Songea na usambazaji umeme katika Vijiji 122.
  • Kabla ya  kukagua kituo cha kupoza umeme cha Songea, Kamati hiyo ilikagua vituo vya Makambako na Madaba pamoja na njia ya usafirishaji umeme kutoka Makambako hadi Songea ambapo watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), walihudhuria.
KAMATI YA BUNGE
Moja ya nguzo, kati ya nguzo 711 (Tower erection) inayosafirisha umeme wa msongo wa kV 220 kutoka Makambako hadi Songea iliyojengwa kupitia mradi wa umeme wa Makambako- Songea.
  • Awali, katika kituo kupoza umeme cha Makambako, Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani aliieleza Kamati hiyo kuwa, mradi huo umekamilika mwaka 2018 na kazi inayoendelea sasa ni usambazaji wa umeme katika Vijiji vya awali 122 ambapo Vijiji 105 tayari vimeshaunganishwa na nishati hiyo.
  • Dkt. Kalemani aliongeza kuwa, mradi huo umetekelezwa  na Serikali ya Tanzania kupitia TANESCO kwa kushirikiana na Serikali ya Sweden kupitia Shirika la Maendeleo la Sweden (Sida) ambapo jumla ya gharama za mradi ni shilingi bilioni 216 na jumla ya wateja wa awali 22,000 watafaidika na mradi huo.
KAMATI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati walipotembelea kituo cha kupoza umeme cha Makambako mkoani Njombe. Wa Pili kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mariamu Ditopile Mzuzuri.
  • Kwa upande wake, Kaimu Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga, alisema kuwa, miundombinu hiyo ya usafirishaji umeme (kV 220) imejengwa kwa umbali wa kilomita 250 na jumla ya nguzo (Tower erection) 711 zimesimikwa.
KAMATI-4
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (wa pili kushoto) akiongoza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea kituo cha kupoza umeme cha Makambako mkoani Njombe. Wa Pili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mariamu Ditopile Mzuzuri na Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.
  • Aliongeza kuwa, kufika kwa umeme wa Gridi katika mikoa hiyo, kumefanya wananchi wahamasike kutumia umeme huo na kutoa mfano kuwa, awali matumizi ya  umeme kwa Mkoa wa Ruvuma yalikuwa ni takriban megawati 9 lakini sasa yameongezeka na kufikia megawati 11 huku kazi ya kuwasambazia umeme wananchi ikiendelea.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AMPONGEZA BONDIA SALIM MTANGO ALIYESHINDA MKANDA WA DUNIA WA UBO

40 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. The latest top football news https://futbol.com.az today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  3. Pin-up Casino https://pin-up.admsov.ru/ is an online casino licensed and regulated by the government of Curacao . Founded in 2016, it is home to some of the industry’s leading providers, including NetEnt, Microgaming, Play’n GO and others. This means that you will be spoiled for choice when it comes to choosing a game.

  4. Paulo Bruno Ezequiel Dybala https://dybala.com.az Argentine footballer, striker for the Italian club Roma and the Argentina national team. World champion 2022.

  5. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.liverpool-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs joueurs du monde.

  6. Khvicha Kvaratskhelia https://khvicha-kvaratskhelia.real-madrid-ar.com midfielder of the Georgian national football team and the Italian club “Napoli”. Became champion of Italy and best player in Serie A in the 2022/23 season. Kvaratskhelia is a graduate of Dynamo Tbilisi and played for the Rustavi team.

  7. UFC news https://ufc-ar.com, schedule of fights and tournaments 2024, ratings of UFC fighters, interviews, photos and videos. Live broadcasts and broadcasts of tournaments, statistics, forums and fan blogs.

  8. Minecraft news https://minecraft-ar.com, guides and in-depth reviews of the gaming features available in Minecraft Ar. Get the latest information on downloading Minecraft, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  9. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  10. The fascinating story of Marcus Rashford’s ascent https://manchester-united.marcus-rashford-cz.com to glory in the Red Devils: from a young talent to one of the key players of the team.

  11. Fascinating event related to this Keanu Reeves helped him in the role of the iconic John Wick characters https://john-wick.keanu-reeves.cz, among which there is another talent who has combat smarts with inappropriate charisma.

  12. Follow Liam Neeson’s career https://hostage.liam-neeson.cz as he fulfills his potential as Brian Mills in the film “Taken” and becomes one of the leading stars of Hollywood action films.

  13. The legendary Spanish racer Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso.cz returns to Formula 1 after several years.

  14. the most popular sports website https://sports-forecasts.com in the Arab world with the latest sports news, predictions and analysis in real time.

  15. Latest Diablo news https://diablo-ar.com, detailed game descriptions and guides. Diablo.az – The largest Diablo information portal in Arabic.

  16. The latest analysis, reviews of https://spider-man-ar.com tournaments and the most interesting things from the “Spider-Man” series of games in Azerbaijani language. It’s all here!

  17. NFL https://nfl-ar.com News, analysis and topics about the latest practices, victories and records. A portal that explores the most beautiful games in the NFL world in general.

  18. Ronaldo de Asis Moreira https://ronaldinyo.com braziliyalik futbolchi, yarim himoyachi va hujumchi sifatida o’ynagan. Jahon chempioni (2002). “Oltin to’p” sovrindori (2005).

  19. Marcus Lilian Thuram-Julien https://internationale.marcus-thuram-fr.com French footballer, forward for the Internazionale club and French national team.

  20. Discover the journey of Charles Leclerc https://ferrari.charles-leclerc-fr.com, from young Monegasque driver to Ferrari Formula 1 leader, from his early years to his main achievements within the team.

  21. Golden State Warriors success story https://golden-state-warriors.stephen-curry-fr.com Stephen Curry: From becoming a leader to creating a basketball dynasty that redefined the game.

  22. Jannik Sinner https://tennis.jannik-sinner-fr.biz an Italian tennis player, went from starting his career to entering the top 10 of the ATP, demonstrating unique abilities and ambitions in world tennis.

  23. Carlos Alcaraz https://tennis.carlos-alcaraz-fr.biz from a talented junior to the ATP top 10. His rise is the result of hard work, support and impressive victories at major world tournaments.

  24. The powerful story of Conor McGregor’s https://ufc.conor-mcgregor-fr.biz rise to a two-division UFC championship that forever changed the landscape of mixed martial arts.

  25. Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.

  26. The fascinating story of the phenomenal rise and meteoric fall of Diego Maradona https://napoli.diegomaradona.biz, who became a cult figure at Napoli in the 1980s.

  27. Follow Bernardo Silva’s impressive career https://manchester-city.bernardosilva.net from his debut at Monaco to to his status as a key player and leader of Manchester City.

  28. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  29. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  30. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

  31. Earvin “Magic” Johnson https://los-angeles-lakers.magicjohnson.biz is one of the most legendary basketball players in history. NBA history.

  32. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  33. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  34. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  35. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  36. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  37. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *