- Aelezea ujio wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Qatar aliyefika nchini siku Jumatano tarehe 20 Machi, 2019 na kuondoka Alhamisi tarehe 21 Machi, 2019.
- Qatar kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji kwenye uchimbaji na uvunaji wa gesi pamoja na uwekezaji katika uwekezaji wa hoteli kubwa za kitalii, miundombinu na ushirikiano katika ununuzi wa madini hasa dhahabu katika soko la wachimbaji wadogo lililofunguliwa hivi karibuni.
- Ujumbe kutoka Norway upo nchini tangu tarehe 19 Machi, 2019 na wamezungumza na serikali juu ya uwekezaji katika mafuta na tayari mazungumzo ya utekelezaji kati ya Serikali ya Norway na kampuni ya uchimbaji wa mafuta ya Equinor na Wizara ya Nishati na Madini yanaenedelea.
Tanzama video hii katika mkutano na waandishi wa waandishi wa habari
#MATAGA
Ad
Ad