Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Bi. Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN-Women), pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez (katikati) ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.

MAKAMU WA RAISA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UN WOMEN

 

MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akisalimia na Bi. Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN-Women), mwingine pichani ni Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

MAKAMU RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Bi. Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN-Women), pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez (katikati) ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa  linaloshughulikia Masuala ya Wanawake (UN-Women) Bi. Hodan Addou aliyeambatana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez, Ikulu jijini Dar es Salaam.
MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Bi. Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN-Women),pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto) ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.

MAM-5

MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • Pamoja na mambo mengine Mwakilishi huyo wa UN-Women alizungumzia kazi mbalimbali zinazofanywa na Shirika hilo hapa nchini hususani katika kushirikiana na Serikali katika miradi mbalimbali ikiwemo Mkakati wa Kukuza Uchumi na kupumguza Umasikini Tanzania(MKUKUTA) na Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini Zanzibar (MKUZA).
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *