UJENZI WA MELI MPYA YENYE UWEZO WA KUBEBA ABIRIA 1,200

  • Hatua iliyofikiwa ni:
  • kuendelea na Ujenzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo katika ziwa Victoria; kufikia asilimia 82 ya ujenzi wa meli moja mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 200 na mizigo tani 200 za mizigo katika ziwa Nyasa; na kukamilika kwa ujenzi wa matishari mawili katika Ziwa Nyasa.
  • Kwa upande wa Ziwa Tanganyika, Ujenzi wa Meli Mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 400 za mizigo, ambapo uandaaji wa mikataba kwa ajili ya ujenzi wa meli hiyo pamoja na ukarabati wa meli ya MV Liemba umekamilika.
  • Miradi mingine ni kukamilika kwa ujenzi wa kivuko kipya cha Kigongo – Busisi; kukamilika kwa ukarabati wa kivuko cha MV Pangani II; kuendelea kukarabati vivuko vya MV Sengerema, MV Kigamboni na MV Misungwi.
MELI
Muonekano wa Meli ya Mv. Umoja yenye uwezo wa kubeba behewa 22. Meli hiyo inasafirisha mizigo kutoka Bandari ya Mwanza kuelekea Bandari ya “Port Bell” Uganda.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA BODI MPYA YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amezindua Bodi mpya ya Shirika la …

Oni moja

  1. Hii ndio Tanzania Mpya anayoiona visualize JPM
    Lazima tumuunge mikono

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *