Sura ya halisi ya Jengo la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi baada ya kukamilika rasmi katika mji wa Serikali Ihumwa mkoani Dodoma. Jengo hilo limejengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupitia kampuni yake ya ujenzi.

JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

M
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiooneshwa moja ya kazi zilizofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika ujenzi wa jengo la Wizara na Mhandisi wa ujenzi Grace Musita alipotembelea kujionea kukamilika kwa ujenzi wa jengo hilo katika mji wa Serikali Ihumwa Dodoma.
NAIBU WAZIRI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiooneshwa eneo la Makatibu Muhtasi wa ofisi ya Waziri na Mhandisi wa Ujenzi wa Jengo la Wizara ya Ardhi kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Grace Musita alipotembelea kujionea kukamilika kwa ujenzi wa jengo hilo kwenye Mji wa Serikali Ihumwa Dodoma.
Screen Shot 2019-03-27 at 8.10.54 AM
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwa nje ya jengo la Wizara yake katika mji wa Serikali wa Ihumwa mkoani Dodoma alipotembelea leo tarehe 26 Machi 2019 kufuatia kukamilika ujenzi wake. Kushoto ni Mhandisi wa ujenzi wa jengo hilo kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Grace Musita.
NAIBU WAZIRI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na akina mama wanaofanya usafi kwenye majengo ya Wizara yaliyopo katika Mji wa Serikali Ihumwa alipotembelea kujionea kukamilika kwa ujenzi wa jengo la Wizara ya Ardhi katika mji wa Serikali Ihumwa mkoani Dodoma tarehe 26 Machi 2019.(PICHA ZOTE NA MUNIR SHEMWETA-WIZARA YA ARDHI)
Ad

Unaweza kuangalia pia

SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA WILAYA YA KONDOA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) leo azindua …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *