MAKAMBA-USHIRIKIANO NDIO NJIA MUHIMU KATIKA KUPATA TAKWIMU SAHIHI

  • Tanzania ili iweze kufikia hatima ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, ofisi ya Taifa ya takwimu ishirikiane vyema na taasisi pamoja na mashirika ya utafiti katika kuhakikisha tafiti zinazofanyika zinatoa takwimu sahihi.
  • Rai hiyo imetolewa  Jijini Dodoma na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba wakati wa uzinduzi wa semina ya wadau kuhusu uanzishwaji wa ushirikiano wa Kitaifa na Kimataifa wa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa takwimu za mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi.
  • ”Ripoti zifanane, vitu vyote vyaweza kuharibiwa lakini sio takwimu, kwani ndio kioo cha kila jambo duniani, utofauti ukionekana kwenye ripoti itakwamisha wadau na serikali kwenye mipango ya maendeleo,” amesema Makamba
  • Mbali na ushirikiano, amesisitiza watafiti kujengeana uwezo katika kuhifadhi na kuchambua takwimu ili kufikisha ujumbe kwa walengwa, kwani uchambuzi huo huchangia maamuzi sahihi ya mipango ya maendeleo.
  • Aidha, ameitaka ofisi ya Taifa ya Takwimu na wadau wengine wa kitaifa na kimataifa katika masuala ya tafiti kuhusu mazingira, wajikite katika kutoa elimu kwa umma juu ya visababishi na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kwani uhafifu wa uelewa juu ya mazingira unasababisha wananchi kuwa vyanzo vikuu vya tatizo.
  • Kwa upande wake Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, amesema lengo kuu la takwimu za tafiti juu ya mazingira ni kuhakikisha zinapatikana taarifa rasmi ili kuwasaidia watunga sera nchini na duniani kote katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
  • “Kama takwimu zikiwa sahihi, na za kutosha, tatizo la tabia ya nchi litakomeshwa kwani hakutakuwepo na mkanganyiko wa kujiuliza ni nini sababu kuu ya tatizo wakati kila kitu kitakuwa wazi,” amesema Dkt. Chuwa.
  • Naye Mkuu wa Kitengo cha Taifa cha Takwimu Benedict Mugambi, akizungumza katika ufunguzi wa semina hiyo, amesema, kuna uhusiano mkubwa kati ya watu, mazingira na uwepo wa mabadiliko ya tabia ya nchi, hivyo watu wanapaswa kuelimishwa juu ya utunzaji wa mazingira mahali wanapoishi.
  • ”Katika sensa ya watu na makazi sehemu yenye watu wengi kuna uharibifu zaidi wa mazingira unaopelekea uwepo wa mabadiliko ya tabia ya nchi kuliko penye watu wachache,” amesema Mugambi
  • Mwakilishi kutoka Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Serikali ya Ujerumani (GIZ), Samwel Sudi amesema takwimu za mazingira zikitumika vyema zinachagiza uwepo wa maendeleo, kwani taarifa hizo zinasaidia wadau wa maendeleo na serikali kutekeleza mambo mbalimbali yanayohusu mabadiliko ya tabia ya nchi.
  • ”Tunajitahidi kuweka mikakati ya kuhakikisha ulimwenguni kote tunakuwa na njia za kuzuia uharibifu wa mazingira unaosababisha mabadiliko mbalimbali ya nchi ikiwemo mafuriko, ukame na hewa chafu, hii itasaidia kuwepo kwa maendeleo katika nyanja zote” amesema Victor Ohuruogu Mwakilishi kutoka Ushirikiano wa Kimataifa wa Takwimu kwa Maendelelo Endelevu (Global Partinership for Sustainable Development Data- GPSDD)
  • Suala la mazingira na hali nzuri ya tabia ya nchi si la nchi moja pekee, wakati Tanzania ikiweka mikakati ya kutumia takwimu kukabiliana nalo, wadau wa kimataifa nao wanalipigania kuhakikisha duniani kote hali inatengamaa.
    IDARA YA HABARI MAELEZO
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

15 Maoni

  1. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-ar.com is a Norwegian footballer who plays as a forward for the English club Manchester City and the Norwegian national team. English Premier League record holder for goals per season.

  2. Antoine Griezmann https://antoine-griezmann.prostoprosport-fr.com French footballer, striker and midfielder for Atletico Madrid. Player and vice-captain of the French national team, as part of the national team – world champion 2018. Silver medalist at the 2016 European Championship and 2022 World Championship.

  3. Sweet Bonanza https://sweet-bonanza.prostoprosport-fr.com is an exciting slot from Pragmatic Play that has quickly gained popularity among players thanks to its unique gameplay, colorful graphics and the opportunity to win big prizes. In this article, we’ll take a closer look at all aspects of this game, from mechanics and bonus features to strategies for successful play and answers to frequently asked questions.

  4. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thhibaut-courtois.prostoprosport-fr.com Footballeur belge, gardien de but du club espagnol du Real Madrid . Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Triple vainqueur du Trophee Ricardo Zamora

  5. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-br.com Futebolista noruegues, atacante do clube ingles Manchester City e Selecao da Noruega. Detentor do recorde da Premier League inglesa em gols por temporada.

  6. Philippe Coutinho Correia https://philippecoutinho.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, midfielder of the English club Aston Villa, playing on loan for the Qatari club Al-Duhail. He is known for his vision, passing, dribbling and long-range ability.

  7. Robert Lewandowski https://robert-lewandowski.prostoprosport-br.com e um futebolista polones, atacante do clube espanhol Barcelona e capitao da selecao polonesa. Considerado um dos melhores atacantes do mundo. Cavaleiro da Cruz do Comandante da Ordem do Renascimento da Polonia.

  8. Victor James Osimhen https://victor-osimhen.prostoprosport-br.com e um futebolista nigeriano que atua como atacante. O clube italiano Napoli e a selecao nigeriana.

  9. Neymar da Silva Santos Junior https://neymar.prostoprosport-br.com e um futebolista brasileiro que atua como atacante, ponta e atacante. meio-campista do clube saudita Al-Hilal e da selecao brasileira. Considerado um dos melhores jogadores do mundo. O maior artilheiro da historia da Selecao Brasileira.

  10. Lionel Messi https://lionel-messi.prostoprosport-cz.org je argentinsky fotbalista, utocnik a kapitan klubu MLS Inter Miami. , kapitan argentinske reprezentace. Mistr sveta, vitez Jizni Ameriky, vitez finale, olympijsky vitez. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu vsech dob.

  11. Toni Kroos https://toni-kroos.prostoprosport-cz.org je nemecky fotbalista, ktery hraje jako stredni zaloznik za Real Madrid a nemecky narodni tym. Mistr sveta 2014. Prvni nemecky hrac v historii, ktery sestkrat vyhral Ligu mistru UEFA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *