Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (katikati) pamoja na Mwakilishi Mkazi wa WFP Bw. Michael Dunford (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid pamoja na Mwakilishi Mkazi ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (katikati) pamoja na Mwakilishi Mkazi wa WFP Bw. Michael Dunford ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.