WILAYA YA NKASI WAKAMILISHA MABORESHO YA VITUO VITATU VYA AFYA

  • Wakinamama wa Wilaya ya Nkasi, wamepongeza Serikali kwa kukamilisha maboresho ya vituo  vya afya  vya Wampembe, Kilando na Nkomolo na kuanza kutoa huduma kwa wananchi wa maeneo hayo.
  • ”Hapa sasa hivi ni tofauti panahuduma nzuri Mungu ametuletea na vipimo yaani tunatibiwa bila kunyanyasika manesi wenyewe wanatupokea vizuri hata ukiwa mchafu kama mimi anakupokea,ukishindwa namna ya kujitambulisha kitu gani kinauma anakuelewesha kwakweli uzuri upo  na ubora upo” mwananchi alisema
  • Naye mwananchi mwingine wa wilaya hiyo amemshukuru Mhe.Rais kwa kuboresha vituo hivyo ”kwa kweli tunashukuru sana na operation ipo hapa hapa sasa hivi hatupati shida” alisistiza mwamanchi huyo
  • Pamoja na maboresho hayo bado wilaya hiyo ina upungufu wa wafanyakazi katika sekta hiyo kwa asilimia 60

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.