Almasi yenye ukubwa wa karati 521 imepatikana katika mgodi wa Mwadui Mkoani Shinyanga tangu mgodi huo uanze uzalishaji miaka 87 iliyopita. Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwake mbele ya waandishi wa Habari tarehe 30 Aprili, 2019, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amesema almasi hiyo itauzwa ndani ya nchi …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: April 2019
JUMUIA ZA KIMATAIFA ZAHAKIKISHIWA KUIMARISHWA KWA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI,KUKUZA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU
Waziri wa Mambo ya Nje Pro. Palamagamba Kabudi ameihakikishia jumuia za kimataifa kuwa Tanzania itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ambao umejikita katika misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kukuza demokrasia na haki za binadamu kwa mujibu na muktadha wa nchini. Pro. Kabudi ameyasema hayo jijini Dar …
Soma zaidi »MADAKTARI NA WAUGUZI KUPATIWA FURSA ZAIDI YA MAFUNZO KATIKA FANI YA UBONGO NA MISHIPA NCHINI CHINA
LIVE: RAIS MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NYUMBA ZA WAKUFUNZI, MAABARA NA MABWENI KATIKA CHUO CHA UALIMU
WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA KISASA YA TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi zinazofanya uhakiki na upimaji bidhaa nchini zijirekebishe na ziongeze kasi ya utoaji matokeo kwa wateja. “Kumekuwa na malalamiko kutoka mipakani juu ya bidhaa zinazochukuliwa ili zikapimwe kwamba zinachukua muda mrefu. Punguzeni urasmi huo ili kufanya sekta ya biashara iweze kwenda kwa haraka zaidi. Tume …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA MWAKANGALE WILAYA YA KYELA
LIVE:MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU
TAKA NGUMU KUBORESHWA KUWA MALI
Viongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamekutana na wadau mbalimbali wa kudhibiti taka ngumu kwa lengo la kujadili namna ambayo wanaweza kukusanya taka na kuzifanya kuwa shughuli ya biashara na ajira. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa raisi, mazingira na …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIWIRA PAMOJA NA KUFUNGUA KIWANDA CHA MAPARACHICHI KILICHOPO RUNGWE MKOANI MBEYA
WAZIRI KALEMANI AZINDUA UUNGANISHAJI WA GESI ASILIA VIWANDANI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amezindua upelekaji wa Gesi asilia katika kiwanda cha Cocacola kilichopo jijini Dar es Salaam ambacho sasa kitaanza kutumia gesi hiyo kwa shughuli zake za uzalishaji. Uunganishaji wa Gesi asilia katika kiwanda hicho ni matokeo ya kazi iliyofanywa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania …
Soma zaidi »