Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba (katikati) akiongea na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge wa Viwanda, Biashara na Mazingira Suleiman Murad Sadick katika moja ya ziara za kikazi za Kamati hiyo hivi karibuni.

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAPONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA

  • Serikali imesema itaendelea na juhudi za kushawishi wadau wa maendeleo na Jumuiya za Kimataifa ili kupata fedha za kusimamia uratibu wa shughuli za mazingira na kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi nchini.
  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba ameyasema hayo hii leo Jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji  wa Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2019/2020 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira.
  • Amesema Tanzania ni Mwanachama kwenye Mifuko na Mikataba mbalimbali duniani hivyo kuna fursa za kunufaika na fedha zitolewazo na mifuko hiyo akitoa mfano wa Green Climate Fund.
  • Aidha Waziri Makamba ameainisha mafanikio yaliyopatikana katika Ofisi yake kwa kipindi cha mwaka 2018/2019, kuwa ni pamoja na kufanya Mapitio ya Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 1997 na Mkakati wa Utekelezaji wake,  kuandaa rasimu ya Mpango wa Taifa wa Mazingira wa mwaka 2019 – 2023, na Maandalizi ya Mkakati wa Taifa wa Kudhibiti Viumbe Vamizi (Invasive Alien Species).
  • Pia, katika kipindi cha mwaka 2018/19, Ofisi ya Makamu wa Rais imekamilisha rasimu ya mwisho ya Ripoti ya Tatu ya Hali ya Mazingira Nchini baada ya kupata maoni ya wadau kabla ya kuwasilishwa Bungeni kwa mujibu wa matakwa ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya Mwaka 2004.
  • Waziri Makamba amesema katika kuhakikisha usimamizi na utekelezaji wa Sheria ya Mazingira unazingatiwa jumla ya miradi 1,254 ya maendeleo imefanyiwa Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) na Ukaguzi wa Mazingira na katika kuharakisha uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira linatoa Kibali cha Awali cha Mazingira (Provisional Environmental Clearance) ili kuwawezesha wawekezaji kuendelea na maandalizi ya awali ya mradi wakati mchakato wa Tathmini ya Athari kwa Mazingira unaendelea.
  • Kwa upande mwingine Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Viwanda, Biashara na Mazingira Suleiman Sadick amepongeza uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais kwa jitihada za kuhifadhi mazingira nchini. ” Kamati inatambua jitihada za Ofisi yenu katika kuhifadhi mazingira, sisi tunawaunga mkono” alisisitiza Sadick.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

90 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Check out the latest news, guides and in-depth reviews of the available options for playing Minecraft Az https://minecraft.com.az. Find the latest information about Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  3. The most popular sports site https://sports.com.az of Azerbaijan, where the latest sports news, forecasts and analysis are collected.

  4. Хотите сделать в квартире ремонт? Тогда советуем вам посетить сайт https://stroyka-gid.ru, где вы найдете всю необходимую информацию по строительству и ремонту.

  5. https://LoveFlover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  6. Смотрите онлайн сериал Отчаянные домохозяйки https://domohozyayki-serial.ru в хорошем качестве HD 720 бесплатно, рейтинг сериала: 8.058, режиссер сериала: Дэвид Гроссман, Ларри Шоу, Дэвид Уоррен.

  7. Pin Up Casino https://pin-up.sibelshield.ru official online casino website for players from the CIS countries. Login and registration to the Pin Up casino website is open to new users with bonuses and promotional free spins.

  8. Latest Diablo news https://diablo.com.az game descriptions and guides. Diablo.az is the largest Diablo portal in the Azerbaijani language.

  9. Latest World of Warcraft (WOW) tournament news https://wow.com.az, strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Azerbaijani language

  10. The latest analysis, tournament reviews and the most interesting features of the Spider-Man game https://spider-man.com.az series in Azerbaijani.

  11. Latest boxing news https://boks.com.az, Resul Abbasov’s achievements, Tyson Fury’s fights and much more. All in Ambassador Boxing.

  12. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.liverpool-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs joueurs du monde.

  13. Kylian Mbappe https://psg.kylian-mbappe-fr.com Footballeur, attaquant francais. L’attaquant de l’equipe de France Kylian Mbappe a longtemps refuse de signer un nouveau contrat avec le PSG, l’accord etant en vigueur jusqu’a l’ete 2022.

  14. Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.real-madrid-ar.com English footballer, midfielder of the Spanish club Real Madrid and the England national team. In April 2024, he won the Breakthrough of the Year award from the Laureus World Sports Awards.

  15. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.real-madrid-ar.com Footballeur belge, gardien de but du Club espagnol “Real Madrid”. Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Trois fois vainqueur du Trophee Ricardo Zamora, decerne chaque annee au meilleur gardien espagnol

  16. Реальные анкеты https://prostitutki-vyzvat-moskva.ru Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  17. You have a source of the latest and most interesting sports news from Kazakhstan: “Kazakhstan sports news https://sports-kazahstan.kz: Games and records” ! Follow us to receive updates and interesting news every minute!

  18. Latest news about games for Android https://android-games.kz, reviews and daily updates. Read now and get the latest information about the most exciting games

  19. Check out Minecraft kz https://minecraft-kz.kz for the latest news, guides, and in-depth reviews of the game options available. Find the latest information on Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  20. Зеркала интерьерные https://zerkala-mag.ru в интернет-магазине «Зеркала с подсветкой» Самые низкие цены на зеркала!

  21. Spider-Man https://spiderman.kz the latest news, articles, reviews, dates, spoilers and other latest information. All materials on the topic “Spider-Man”

  22. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-kz.kz, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world.

  23. Интернет магазин электроники и цифровой техники по доступным ценам. Доставка мобильной электроники по Москве и Московской области.

  24. News, tournaments, guides and strategies about the latest GTA games https://gta-ar.com. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  25. https://rolaks.com отделочные материалы для фасада – интернет-магазин

  26. The inspiring story of how talented Kevin De Bruyne https://manchestercity.kevin-de-bruyne-cz.com became the best player of Manchester City and the Belgium national team. From humble origins to the leader of a top club.

  27. Lionel Messi https://intermiami.lionel-messi-cz.com, one of the best football players of all time, moves to Inter Miami” and changes the face of North American football.

  28. Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.

  29. Antoine Griezmann https://atlticomadrid-dhb.antoine-griezmann-cz.com Atletico Madrid star whose talent and decisive goals helped the club reach the top of La Liga and the UEFA Champions League.

  30. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  31. We explore the path of Luka Modric https://realmadrid.luka-modric-cz.com to Real Madrid, from a difficult adaptation to legendary Champions League triumphs and personal awards.

  32. A study of the influence of Rodrigo https://realmadrid.rodrygo-cz.com on the success and marketing strategy of Real Madrid: analysis of technical skills, popularity in Media and commercial success.

  33. Find out how Pedro Gavi https://barcelona.gavi-cz.com helped Barcelona achieve success thanks to his unique qualities, technique and leadership, becoming a key player in the team.

  34. Find out how Bruno Guimaraes https://newcastleunited.bruno-guimaraes-cz.com became a catalyst for the success of Newcastle United thanks to his technical abilities and leadership on the field and beyond.

  35. Study of the playing style of Toni Kroos https://real-madrid.toni-kroos-cz.com at Real Madrid: his accurate passing, tactical flexibility and influence on the team’s success.

  36. The young Uruguayan Darwin Nunez https://liverpool.darwin-nunez-cz.com broke into the elite of world football, and he became a key Liverpool player.

  37. The story of how the incredibly talented footballer Riyad Mahrez https://alahli.riyad-mahrez-cz.com reached new heights in career, moving to Al Ahly and leading the team to victory.

  38. Fascinating event related to this Keanu Reeves helped him in the role of the iconic John Wick characters https://john-wick.keanu-reeves.cz, among which there is another talent who has combat smarts with inappropriate charisma.

  39. Try to make a fascinating actor Johnny Depp https://secret-window.johnny-depp.cz, who will become the slave of his strong hero Moudriho Creeps in the thriller “Secret Window”.

  40. The inspiring story of Zendaya’s rise https://spider-man.zendaya-maree.cz, from her early roles to her blockbuster debut in Marvel Cinematic Universe.

  41. An indomitable spirit, incredible skills and five championships – how Kobe Bryant https://losangeles-lakers.kobe-bryant.cz became an icon of the Los Angeles Lakers and the entire NBA world.

  42. The legendary Spanish racer Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso.cz returns to Formula 1 after several years.

  43. Latest Diablo news https://diablo-ar.com, detailed game descriptions and guides. Diablo.az – The largest Diablo information portal in Arabic.

  44. Latest World of Warcraft tournament news https://ar-wow.com (WOW), strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Arabic.

  45. NFL https://nfl-ar.com News, analysis and topics about the latest practices, victories and records. A portal that explores the most beautiful games in the NFL world in general.

  46. Discover exciting virtual football https://fortnite-ar.com in Fortnite. Your central hub for the latest news, expert strategy and exciting eSports reporting.

  47. Explore the extraordinary journey of Kylian Mbappe https://mbappe-real-madrid.com, from his humble beginnings to global stardom.

  48. Serxio Ramos Garsiya https://serxio-ramos.com ispaniyalik futbolchi, himoyachi. Ispaniya terma jamoasining sobiq futbolchisi. 16 mavsum davomida u “Real Madrid”da markaziy himoyachi sifatida o’ynadi.

  49. Ronaldo de Asis Moreira https://ronaldinyo.com braziliyalik futbolchi, yarim himoyachi va hujumchi sifatida o’ynagan. Jahon chempioni (2002). “Oltin to’p” sovrindori (2005).

  50. Marcus Lilian Thuram-Julien https://internationale.marcus-thuram-fr.com French footballer, forward for the Internazionale club and French national team.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *