Maktaba ya Kila Siku: April 2, 2019
UPASUAJI SARATANI YA MATITI SASA UNAFANYIKA BILA KULIONDOA
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na kampuni ya dawa ya Roche ya nchini Kenya imeandaa mkutano wa kisayansi wa kuwajengea uwezo wataalam wa Radiolojia, Pathiolojia, Upasuaji, tiba ya mionzi na dawa kufanya upasuaji wa saratani ya matiti kwa kutoa uvimbe bila kuondoa titi lote kwa wagonjwa wenye dalili za …
Soma zaidi »WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTANGAZA UTALII KUPITIA AFCON U17
Serikali ya dhamiria kutumia jukwaa wa Mashindano ya AFCON U17 yatakayofanyika hivi karibuni kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kunufaika na wageni mbalimbali watakao kuja kushiriki michuano hiyo ya Kimataifa. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof.Adolf Mkenda wakati wa kikao na Katibu …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU
SERIKALI YAKABIDHI NDEGE YAKE YA FOKKER 50 KWA ATCL
WAZIRI WA MADINI WA UGANDA YUPO NCHINI KUJIFUNZA NAMNA SEKTA YA MADINI INAVYOENDESHWA
LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE MTWARA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi la Upanuzi wa Uwanja wa ndege wa Mtwara . Mhe. Rais Yupo ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara
Soma zaidi »