Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Jacob Kingu, amesema kuwa maeneo 17 Jijini Dar Es Salaam kufungwa CCTV Kamera amesema hayo wakati akiongoza Kikao cha wadau kujadili Mradi wa kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu(CCTV Kamera) katika maeneo 17 jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Jacob Kingu, amesema kuwa maeneo 17 Jijini Dar Es Salaam kufungwa CCTV Kamera amesema hayo wakati akiongoza Kikao cha wadau kujadili Mradi wa kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu(CCTV Kamera) katika maeneo 17 jijini Dar es Salaam.