- Taasisi ya Mifupa MOI kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India wataendesha zoezi la kutoa miguu bandia 600 BURE. taarifa zinaksema wote wenye uhitaji wafike MOI ndani ya mwezi April 2019 kwa vipimo na miguu hiyo itatolewa mwezi May 2019
Ad
Tags Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI WIZARA YA AFYA
Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …