Ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Ilemela katika kata ya Bugogwa Mtaa wa Isanzu.Ujenzi huo umefikia takriban asilimia 15. Jumla ya majengo 7 yanajengwa kati ya majengo 22 yanayotakiwa na yanatarajiwa kukamilika kufikia tarehe 30.08.2019.Ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Ilemela katika kata ya Bugogwa Mtaa wa Isanzu.Ujenzi huo umefikia takriban asilimia 15. Jumla ya majengo 7 yanajengwa kati ya majengo 22 yanayotakiwa na yanatarajiwa kukamilika kufikia tarehe 30.08.2019.Ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Ilemela katika kata ya Bugogwa Mtaa wa Isanzu.Ujenzi huo umefikia takriban asilimia 15. Jumla ya majengo 7 yanajengwa kati ya majengo 22 yanayotakiwa na yanatarajiwa kukamilika kufikia tarehe 30.08.2019.