NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA MAABARA YA KISASA YA MAFUNZO

MUHIMBILI
Mkuu wa Idara ya Huduma za Usingizi, Dr. Lugazia, akionyesha na kuelezea vifaa mbalimbali vilivyopo katika maabara ya kisasa ya mafunzo. Vifaa hivi vimewekwa na kampuni ya Gradian Health Systems
MUHI
Picha ya pamoja.
MUHI-4
Mkuu wa Idara ya Huduma za Usingizi, Dr. Lugazia, akionyesha na kuelezea vifaa mbalimbali vilivyopo katika maabara ya kisasa ya mafunzo. Vifaa hivi vimewekwa na kampuni ya Gradian Health Systems
WASHIRIKI
Baadhi ya washiriki katika uzinduzi wa maabara ya kisasa
Naibu waziri
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile akizungumza wakati wa uzinduzi wa maabara ya kisasa
  • Katika kuadhimisha Siku ya Afya Duniani, Naibu Waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndugulile amezindua maabara ya kisasa itakayotoa mafunzo kwa vitendo kwa wataalamu wa huduma za usingizi na dharura, MUHAS
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.