SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA MIFUKO MBADALA YA PLASTIKI INAPATIKANA KWA WINGI ILI KUKIDHI MAHITAJI

  • Serikali imefafanua tamko lake la kupiga marufuku uzalishaji, usambazaji na matumizi ya mifuko ya plastiki hapa nchini.
  • Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Jijini Dodoma na kusisitiza kuwa katazo la Mifuko ya Plastiki lililotolewa jana na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa linakuwa na nguvu kisheria kwa kuandika kanuni za katazo ya mifuko ya plastiki zitakazotangazwa katika gazeti la Serikali chini ya Sheria ya Mazingira na kutoa adhabu kwa kila mtu atakaekiuka utaratibu uliowekwa.  
  • “Kabla ya Serikali kutangaza hatua ya kupiga marufuku mifuko ya plastiki, ulifanyika utafiti na maandalizi ya mifuko mbadala. Uwezo wa kuzalisha upo na mifuko ya karatasi inayotumika Kenya na Rwanda inatumia malighafi inayozalishwa Mgololo-Iringa,Tanzania.” Makamba alisistiza
  • Waziri Makamba ameainisha kuwa kuna vifungashio ambavyo havitapigwa marufuku ambavyo ni pamoja na vifungashio vya dawa za hospitalini, vifungashio katika sekta ya kilimo na ujenzi pia vile vya kuhifadhi maziwa na kutolea mfano wa vifungashio vya maziwa ya ASAS na Tanga Fresh, hata hivyo utaratibu maalumu utawekwa kwa wamiliki wa kukusanya vifungashio hivyo mara baada ya matumizi yake.
  • Akizungumzia juu ya ushirikishwaji, Waziri Makamba amesema kuwa zoezi hili limekuwa ni shirikishi na hatua iliyotangazwa na Waziri Mkuu sio ya kushtukiza kwa kuwa Ofisi yake iliratibu mikutano katika maeneo kadhaa nchini kusikiliza maoni ya wananchi kuhusu zuio la mifuko ya plastiki.
  • Katika kukamilisha utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Waziri Makamba amesema Ofisi yake imeunda kikosi kazi cha kusimamia katazo hilo kikihusisha wajumbe kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira, Mamlaka ya Mapato Tanzania, Idara ya Uhamiaji, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Shirika la Viwango Tanzania, Mamlaka ya Chakula na Dawa, Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Wengine ni Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
  • Katika hatua nyingine Waziri Makamba amesema kuwa mapema wiki ijayo ataitisha mkutano wa wawekezaji wa mifuko mbadala kote nchini na kujadili kwa kina namna bora ya kuwekeza katika uzalishaji wa mifuko mbadala rafiki wa mazingira.
  • Serikali imetangaza kuanzia Juni Mosi 2019 kuwa ni marufuku kutengeneza, kuingiza, kuuza na kutumia mifuko ya plastiki kwa ajili ya kubebea bidhaa za aina yoyote na matumizi yake.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

84 Maoni

  1. цены на квартиры в новостройках Санкт-Петербурга. Цены и фотографии квартир от застройщика в готовых и строящихся ЖК. Подбор жилья, ипотечные программы, сопровождение сделок и выгодные предложения.

  2. Famous French footballer Kylian Mbappe https://kylianmbappe.prostoprosport-ar.com has become a global ambassador for Dior. The athlete will represent the men’s collections of creative director Kim Jones and the Sauvage fragrance, writes WWD. Mbappe’s appointment follows on from the start of the fashion house’s collaboration with the Paris Saint-Germain football club. Previously, Jones created a uniform for the team where Kylian is a player.

  3. Скачать свежие новинки песен https://muzfo.net 2024 года ежедневно. Наслаждайтесь комфортным прослушиванием, скачивайте музыку за пару кликов на сайте.

  4. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  5. Latest news and details about the NBA in Azerbaijan https://nba.com.az. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  6. The Dota 2 website https://dota2.com.az Azerbaijan provides the most detailed information about the latest game updates, tournaments and upcoming events. We have all the winning tactics, secrets and important guides.

  7. The most popular sports site https://sports.com.az of Azerbaijan, where the latest sports news, forecasts and analysis are collected.

  8. Хотите сделать в квартире ремонт? Тогда советуем вам посетить сайт https://stroyka-gid.ru, где вы найдете всю необходимую информацию по строительству и ремонту.

  9. Официальный сайт Pin Up казино https://pin-up.nasledie-smolensk.ru предлагает широкий выбор игр и щедрые бонусы для игроков. Уникальные бонусные предложения, онлайн регистрация.

  10. Pinup казино https://pin-up.vcabinet.kz это не просто сайт, а целый мир азартных развлечений, где каждый может найти что-то свое. От традиционных игровых автоматов до прогнозов на самые популярные спортивные события.

  11. Discover exciting virtual football in Fortnite https://fortnite.com.az. Your central hub for the latest news, expert strategies and interesting e-sports reports. Collecting points with us!

  12. Sergio Ramos Garcia https://sergio-ramos.com.az Spanish footballer, defender. Former Spanish national team player. He played for 16 seasons as a central defender for Real Madrid, where he captained for six seasons.

  13. Paulo Bruno Ezequiel Dybala https://dybala.com.az Argentine footballer, striker for the Italian club Roma and the Argentina national team. World champion 2022.

  14. Paul Labille Pogba https://paul-pogba.psg-fr.com Footballeur francais, milieu de terrain central du club italien de la Juventus. Champion du monde 2018. Actuellement suspendu pour dopage et incapable de jouer.

  15. Muhammad Ali https://muhammad-ali.com.az American professional boxer who competed in the heavy weight category; one of the most famous boxers in the history of world boxing.

  16. Монтаж систем отопления https://fectum.pro, водоснабжения, вентиляции, канализации, очистки воды, пылеудаления, снеготаяния, гелиосистем в Краснодаре под ключ.

  17. Lev Ivanovich Yashin https://lev-yashin.com.az Soviet football player, goalkeeper. Olympic champion in 1956 and European champion in 1960, five-time champion of the USSR, three-time winner of the USSR Cup.

  18. Usain St. Leo Bolt https://usain-bolt.com.az Jamaican track and field athlete, specialized in short-distance running, eight-time Olympic champion and 11-time world champion (a record in the history of this competition among men).

  19. Top sports news https://sport-kz-news.kz, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  20. The latest top football news https://football-kz.kz today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  21. Mohamed Salah https://liverpool.mohamed-salah-cz.com, who grew up in a small town in Egypt, conquered Europe and became Liverpool star and one of the best players in the world.

  22. The fascinating story of the rise of Brazilian prodigy Vinicius Junior https://realmadrid.vinicius-junior-cz.com to the heights of glory as part of the legendary Madrid “Real”

  23. Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.

  24. A study of the influence of Rodrigo https://realmadrid.rodrygo-cz.com on the success and marketing strategy of Real Madrid: analysis of technical skills, popularity in Media and commercial success.

  25. Thibaut Courtois https://realmadrid.thibaut-courtois-cz.com the indispensable goalkeeper of “Real”, whose reliability, leadership and outstanding The game made him a key figure in the club.

  26. Find out how Virgil van Dijk https://liverpool.virgil-van-dijk-cz.com became an integral part of style игры «Liverpool», ensuring the stability and success of the team.

  27. Star Brazilian striker Gabriel Jesus https://arsenal.gabriel-jesus-cz.com put in a superb performance to lead Arsenal to new heights after moving from Manchester City.

  28. The fascinating story of Antonio Rudiger’s transfer https://real-madrid.antonio-rudiger-cz.com to Real Madrid and his rapid rise as a key player at one of the best clubs in the world.

  29. Jon Jones https://ufc.jon-jones.cz a dominant fighter with unrivaled skill, technique and physique who has conquered the light heavyweight division.

  30. Latest Diablo news https://diablo-ar.com, detailed game descriptions and guides. Diablo.az – The largest Diablo information portal in Arabic.

  31. Latest World of Warcraft tournament news https://ar-wow.com (WOW), strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Arabic.

  32. The latest analysis, reviews of https://spider-man-ar.com tournaments and the most interesting things from the “Spider-Man” series of games in Azerbaijani language. It’s all here!

  33. Explore the extraordinary journey of Kylian Mbappe https://mbappe-real-madrid.com, from his humble beginnings to global stardom.

  34. Latest news about Pele https://mesut-ozil-uz.com, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  35. Legendary striker Cristiano Ronaldo https://an-nasr.cristiano-ronaldo-fr.com signed a contract with the Saudi club ” An-Nasr”, opening a new chapter in his illustrious career in the Middle East.

  36. Прокат и аренда автомобилей https://autorent.by в Минске 2019-2022. Сутки от 35 руб.

  37. Find the latest information on Conor McGregor https://conor-mcgregor.uz news, fights, and interviews. Check out detailed articles and news about McGregor’s UFC career, wins, training, and personal life.

  38. Explore the dynamic world of sports https://noticias-esportivas-br.org through the lens of a sports reporter. Your source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of all sports.

  39. Discover the story of Rudy Gobert https://minnesota-timberwolves.rudy-gobert.biz, the French basketball player whose defensive play and leadership transformed the Minnesota Timberwolves into a powerhouse NBA team.

  40. Leroy Sane’s https://bavaria.leroy-sane-ft.com success story at FC Bayern Munich: from adaptation to influence on the club’s results. Inspiration for hard work and professionalism in football.

  41. The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.

  42. Discover Casper Ruud’s https://tennis.casper-ruud-fr.com journey from his Challenger debut to the top 10 of the world tennis rankings. A unique success.

  43. The fascinating story of the creation and rapid growth of Facebook https://facebook.mark-zuckerberg-fr.biz under the leadership of Mark Zuckerberg, who became one of the most influential technology entrepreneurs of our time.

  44. The powerful story of Conor McGregor’s https://ufc.conor-mcgregor-fr.biz rise to a two-division UFC championship that forever changed the landscape of mixed martial arts.

  45. The legendary boxing world champion Mike Tyson https://ufc.mike-tyson-fr.biz made an unexpected transition to the UFC in 2024, where he rose to the top, becoming the oldest heavyweight champion.

  46. The fascinating story of Gigi Hadid’s rise to Victoria’s Secret Angel https://victorias-secret.gigi-hadid-fr.com status and her journey to the top of the modeling industry.

  47. Travel to the pinnacle of French football https://stadede-bordeaux.bordeaux-fr.org at the Stade de Bordeaux, where the passion of the game meets the grandeur of architecture.

  48. A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.

  49. An exploration of Nicole Kidman’s https://watch.nicole-kidman-fr.com career, her notable roles, and her continued quest for excellence as an actress.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *