Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo la Kimataifa-JICA inakusudia kuipatia Tanzania mkopo nafuu pamoja na ruzuku wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 345 za Marekani, sawa na takriban shilingi bilioni 794, kwa ajili ya kutekeleza miradi mitatu ya maendeleo ikiwemo ukarabati wa barabara ya Arusha hadi Holili, …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: April 16, 2019
OFISI YA WAZIRI MKUU YAHAMIA RASMI MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
TANZANIA YARIDHIA AfDB KUONGEZEWA MTAJI
Tanzania imeunga mkono uamuzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB wa kutaka kuongezewa mtaji ili iweze kutekeleza majukumu yake ya kutoa mikopo kwa nchi wanachama wa benki hiyo kwa lengo la kuchochea zaidi maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mkutano wa 7 wa magavana wa ambao …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA MABADILIKO YA KANUNI ZA MATUMIZI YA NYAVU BAHARINI
Serikali imepanga kufanya mabadiliko ya kanuni za matumizi ya nyavu upande wa bahari ili wavuvi waweze kutumia nyavu za milimita nane badala ya milimita kumi zilizokuwa zikitumika awali. Hayo yamesemwa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ukerewe, …
Soma zaidi »