RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU Matokeo ChanyA+ April 17, 2019 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,214 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Mauritius nchini Mhe. Jean Pierre Jhumun pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt Edwin Mhede, Maafisa wa Kituo cha uwekezaji na wa Ikulu baada ya kuonana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 17, 2019. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari akiwa na Mhe. John Chiligati aliyeongozana na Balozi wa Mauritius nchini Mhe. Jean Pierre Jhumun, Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Bw. Gansam Boodram baada ya kuonana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Aprili 17, 2019. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Bw. Gansam Boodram, Balozi wa Mauritius nchini, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Edwin Mhede pamoja na Maafisa wa Kituo cha uwekezaji na wa Ikulu baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu jijini Dar es Salaam. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest