Maktaba ya Kila Siku: April 23, 2019
WAGONJWA 15 KUPATA MATIBABU YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na mwenzao wa Hospitali ya Meditrina ya nchini India wanafanya kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa siku tatu ya kuzibua mishipa ya damu ambayo imeziba kwa kiwango kikubwa (Chronic Total Occlusion) na hivyo kushindwa kupitisha damu vizuri. …
Soma zaidi »SPIKA NDUGAI AZINDUA MTAALA WA KOZI YA SHAHADA YA UCHUMI NA FEDHA YA CHUO CHA IFM
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) mnamo tarehe 17 Aprili 2019 katika viwanja vya Bunge ukumbi wa Pius Msekwa Dodoma waliendesha muhadhara kwa umma unaohusu Mwelekeo wa Upatikasnaji wa chakula- Kukuza Myororo wa Thamani ya Uzalishaji wa Bidhaa zinazotokana na Kilimo kwa chakula Duniani. Baada ya muhadhara huo kulikuwa uzinduzi …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI, MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA NNE
HOJA ZA SERIKALI – WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Soma zaidi »WAZIRI WA NISHATI AKUTANA NA WAKANDARASI MIRADI YA UMEME VIJIJINI GEITA
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wa miradi ya umeme vijijini katika Mkoa wa Geita na kujadiliana kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo kwa ufanisi zaidi. Katika kikao hicho kilichofanyika, Aprili 20, 2019 katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Chato, makubaliano maalum yaliyofikiwa ni kwa wakandarasi husika …
Soma zaidi »HAKUNA SIKUKUU KWENYE KAZI ZA UMEME – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewaagiza amewaagiza wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kuendelea na kazi katika maeneo yao kwa siku zote zikiwemo sikukuu. Alitoa maagizo hayo Aprili 18, 2019 Kongwa, Dodoma alipokuwa akikagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini; ambapo pia aliwasha umeme katika vijiji vya Ngonga na …
Soma zaidi »