TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU NA USAFIRISHAJI

kikwete
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na Viongozi Wastaafu wenzake wakati Mkutano wa “Belt and Road Forum” mjini Beijing, China.
Screenshot 2019-04-26 at 10.22.55
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Viongozi Wastaafu wenzake wakati Mkutano wa “Belt and Road Forum” mjini Beijing, China. kushoto kwake ni Mhe. Madhva Kumar Waziri Mkuu Mstaafu wa Nepal, kulia kwake Waziri Mkuu Mstaafu Japan Mhe. Yukio Hatoyama na Rais Mstaafu wa Ujerumani Mhe Christian Wulff.
CHINA
Tanzania yaahidi kushirikiana kikamilifu na China katika utekelezaji wa mpango wa One Belt, One Road katika sekta ya miundombinu na usafirishaji. Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwelwe katika mkutano Nchini China.
  • Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwele yupo Beijing Nchini China  kuhudhuria Mkutano wa Pili wa One Belt, One Road, Mkutano huo amboa umeandaliwa  na Rais wa China Mhe Xi Jinping na kuudhuriwa na viongozi kutoka nchi zaidi ya 100 na mashirika ya kimataifa
  • Mkutano huo pia umeudhuriwa na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na viongozi mbalimbali wastaafu.
MKUTANO
Tanzania yaahidi kushirikiana kikamilifu na China katika utekelezaji wa mpango wa One Belt, One Road katika sekta ya miundombinu na usafirishaji. Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwelwe katika mkutano Nchini China.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA BODI MPYA YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amezindua Bodi mpya ya Shirika la …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *