Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na Viongozi Wastaafu wenzake wakati Mkutano wa “Belt and Road Forum” mjini Beijing, China.Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Viongozi Wastaafu wenzake wakati Mkutano wa “Belt and Road Forum” mjini Beijing, China. kushoto kwake ni Mhe. Madhva Kumar Waziri Mkuu Mstaafu wa Nepal, kulia kwake Waziri Mkuu Mstaafu Japan Mhe. Yukio Hatoyama na Rais Mstaafu wa Ujerumani Mhe Christian Wulff.
Tanzania yaahidi kushirikiana kikamilifu na China katika utekelezaji wa mpango wa One Belt, One Road katika sekta ya miundombinu na usafirishaji. Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwelwe katika mkutano Nchini China.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwele yupo Beijing Nchini China kuhudhuria Mkutano wa Pili wa One Belt, One Road, Mkutano huo amboa umeandaliwa na Rais wa China Mhe Xi Jinping na kuudhuriwa na viongozi kutoka nchi zaidi ya 100 na mashirika ya kimataifa
Mkutano huo pia umeudhuriwa na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na viongozi mbalimbali wastaafu.