Maktaba ya Kila Siku: April 29, 2019
WAZIRI KALEMANI AZINDUA UUNGANISHAJI WA GESI ASILIA VIWANDANI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amezindua upelekaji wa Gesi asilia katika kiwanda cha Cocacola kilichopo jijini Dar es Salaam ambacho sasa kitaanza kutumia gesi hiyo kwa shughuli zake za uzalishaji. Uunganishaji wa Gesi asilia katika kiwanda hicho ni matokeo ya kazi iliyofanywa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUSOKELO
MRADI WA UMEME WA KINYEREZI 1 EXTENSION KUKAMILIKA MWEZI AGOSTI 2019
Imeelezwa kuwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi wa Kinyerezi I extension utakamilika mwezi Agosti mwaka huu ambapo utazalisha umeme wa kiasi cha megawati 185. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2019 na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa miradi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AAGIZA MABANGO YA UTALII YAWEKWE KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa bodi ya KADCO uhakikishe unaweka mabango ya kielektroniki yenye kuonesha vivutio vya utalii kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). “KADCO na Wizara ya Maliasili na Utalii, shirikianeni kuweka utaratibu wa kutangaza vivutio vyetu vya utalii hasa wanyama kwenye viwanja vyote vya ndege. …
Soma zaidi »LIVE:RAIS MAGUFULI AMEFUNGUA KIWANDA CHA KUONGEZA THAMANI YA TUNDA LA PARACHICHI
LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA UYOLE
WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1,000 KUTOKA ISRAEL
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watalii kutoka Israel wakawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania pindi wakirudi huko kwao. Ametoa wito huo leo mchana (Jumamosi, Aprili 27, 2019) kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akiwaaga watalii 274 walioondoka nchini leo mchana kurejea kwao. Watalii hao ni miongoni mwa watalii …
Soma zaidi »