Baadhi ya mitambo itakayozalisha umeme wa kiasi cha megawati 185 kupitia mradi wa Kinyerezi I Extension.

MRADI WA UMEME WA KINYEREZI 1 EXTENSION KUKAMILIKA MWEZI AGOSTI 2019

  • Imeelezwa kuwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi wa Kinyerezi I extension utakamilika mwezi Agosti mwaka huu ambapo utazalisha umeme wa kiasi cha megawati 185.
EX
Meneja Miradi kutoka TANESCO, Mhandisi Stephen Manda (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (katikati) kuhusu utekelezaji mradi wa Kinyerezi I Extension utakaozalisha megawati 185. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito Mwinuka.
  • Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2019 na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme ambapo aliambatana na Kaimu Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga, Kaimu Kamishna wa Petroli na Gesi, Mwanamani Kidaya, Kamishna Msaidizi anayeshughulikia Maendeleo ya Nishati, Mhandisi Juma Mkobya  na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Tito Mwinuka.
  • Alisema kuwa, Kituo cha Kinyerezi I tayari kinazalisha megawati 150 hivyo kuongezeka kwa megawati 185 kutafanya kituo hicho kuzalisha umeme kiasi cha megawati 335.
EX
Kamishna Msaidizi anayeshughulikia Maendeleo ya Nishati, Mhandisi Juma Mkobya akizungumza na Mhandisi Edson Ngabo kutoka Wizara ya Nishati, wakati wa ziara ya Waziri wa Nishati katika mradi wa umeme wa Kinyerezi I Extension jijini Dar es Salaam.
  • Aliongeza kuwa, mradi huo wa Kinyerezi I Extension unatekelezwa kwa fedha za ndani ambapo jumla ya Dola za Marekani milioni 188 zimetengwa kwa ajili ya kazi hiyo na malipo yamekwishafanyika kwa asilimia 60.85.
  • Awali, Meneja Miradi kutoka TANESCO, Mhandisi Stephen Manda alieleza kuwa, mradi wa Kinyerezi I Extension unahusisha ununuzi, usanifu na utengenezaji wa mitambo na viambata vyake, ujenzi wa laini ya msongo wa kV132 kutoka Kinyerezi hadi Gongo la Mboto na upanuzi wa ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme.
  • Alisema kuwa, tayari mitambo minne ya kuzalisha umeme itakayofungwa kwenye eneo hilo imeshafika nchini na kwamba mitambo miwili inatarajiwa kuwashwa na kuungwa kwenye gridi ifikapo mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu na mitambo inayobaki itawashwa mwezi Agosti mwaka huu.
EX
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani akitoka kukagua kazi ya ufungaji wa mitambo itakayozalisha kiasi cha umeme cha megawati 185 kupitia mradi wa Kinyerezi I Extension jijini Dar es Salaam.
  • Alitaja baadhi ya kazi zilizokamilika hadi sasa kuwa ni ujenzi wa misingi ya mitambo, ujenzi wa kituo cha kupoza umeme na ujenzi wa laini ya msongo wa kV 220 kutoka katika mitambo ya umeme ya Kinyerezi I hadi Kinyerezi II, hivyo kwa ujumla mradi umetekelezwa kwa asilimia 82.
  • Awali, Waziri wa Nishati, alikagua kazi ya ufungaji wa transfoma kubwa yenye uwezo wa megawati 240 katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam na kutoa maagizo kwa watendaji wa TANESCO kuwa kazi hiyo ikamilike tarehe Moja mwezi wa Saba mwaka huu ili kupunguza changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
  • Vilevile, Dkt. Kalemani alikagua kituo cha kupoza umeme cha Kurasini na kukuta kimeshakamilika hivyo kimeanza kazi ya kusambaza umeme katika eneo la Kigamboni hali itakayopelekea eneo hilo kupata umeme wa uhakika.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 …

379 Maoni

  1. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  2. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  3. Monica Bellucci https://dracula.monica-bellucci-ar.com one of the most famous Italian actresses of our time, has a distinguished artistic career spanning many decades. Her talent, charisma, and stunning beauty made her an icon of world cinema.

  4. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  5. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  6. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  7. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  8. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  9. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  10. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  11. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  12. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  13. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  14. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  15. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  16. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  17. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  18. ремонт дизайн интерьера https://dizayn-interera-doma.ru

  19. дизайн интерьера современный стиль фото дизайн интерьера дома

  20. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  21. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  22. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  23. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  24. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  25. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  26. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  27. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *