Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kazi kubwa inayofanya. Hayo ameyasema kwenye mkutano wa hadhara mkoani Mbeya kwenye viwanja vya Ruanda Nzove wakati akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya kuzindua jengo la NHIF Tower …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: April 2019
LIVE:MKUTANO WA HADHARA WA DKT.MAGUFLI KATIKA VIWANJA VYA RUHANDA NZOVWE JIJINI MBEYA
MSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO
URAFIKI WETU TANZANIA NA CHINA UNA FAIDA NA MAFANIKIO MAKUBWA – PROF. NDALICHAKO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, zimeadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kidiplomasia ulioasisiwa na Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mao Ze Dong, Rais wa kwanza wa China. Akiongea katika maadhimisho …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA IYUNGA
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
TEMESA YAFUNGA TAA KUZUNGUKA UKUTA WA MACHIMBO YA MERERANI
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI ANAWASILI MKOANI MBEYA
TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU NA USAFIRISHAJI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwele yupo Beijing Nchini China kuhudhuria Mkutano wa Pili wa One Belt, One Road, Mkutano huo amboa umeandaliwa na Rais wa China Mhe Xi Jinping na kuudhuriwa na viongozi kutoka nchi zaidi ya 100 na mashirika ya kimataifa Mkutano huo pia umeudhuriwa …
Soma zaidi »LIVE: ZIARA YA RAIS MAGUFULI MALAWI
• Akizindua soko la tumbaku
Soma zaidi »