Balozi Mbelwa Kairuki akisalimiana na Rubani wa ndege aina ya Airbus A350 itakayosafirisha kundi la kwanza la watalii 314 watakaokwenda Tanzania siku ya jumapili. Kufuatia makubaliano ya Bodi ya Utalii (TTB) na kampuni ya Touchroad Group watalii 10,000 watatembelea Tanzania mwaka huu

KUNDI LA KWANZA LA WATALII 314 KUTOKA CHINA KUWASILI NCHINI JUMAPILI

BALOZI KAIRUKI
Balozi Mbelwa Kairuki akisalimiana na Rubani wa ndege aina ya Airbus A350 itakayosafirisha kundi la kwanza la watalii 314 kuja  Tanzania siku ya jumapili. Kufuatia makubaliano ya Bodi ya Utalii (TTB) na kampuni ya Touchroad Group watalii 10,000 watatembelea Tanzania mwaka huu
CHINA
Bodi ya Utalii (TTB) imesaini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano na Idara ya Utamaduni na Utalii ya Jimbo la Zhejiang katika kukuza utalii nchini. jimbo la Zhejiang lina uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa shughuli za utalii ambapo mwaka jana lilipokea watalii milioni 600.

Ad

Unaweza kuangalia pia

ZANZIBAR NA ANGOLA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UTALII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uwamuzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *