Balozi Mbelwa Kairuki akisalimiana na Rubani wa ndege aina ya Airbus A350 itakayosafirisha kundi la kwanza la watalii 314 kuja Tanzania siku ya jumapili. Kufuatia makubaliano ya Bodi ya Utalii (TTB) na kampuni ya Touchroad Group watalii 10,000 watatembelea Tanzania mwaka huuBodi ya Utalii (TTB) imesaini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano na Idara ya Utamaduni na Utalii ya Jimbo la Zhejiang katika kukuza utalii nchini. jimbo la Zhejiang lina uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa shughuli za utalii ambapo mwaka jana lilipokea watalii milioni 600.Bodi ya Utalii (TTB) imesaini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano na Idara ya Utamaduni na Utalii ya Jimbo la Zhejiang katika kukuza utalii nchini. jimbo la Zhejiang lina uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa shughuli za utalii ambapo mwaka jana lilipokea watalii milioni 600.