WIZARA YA MAJI KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WA MIJI 29 BARA NA VISIWANI Matokeo ChanyA+ May 15, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+, Wizara ya Maji Acha maoni 1,486 Imeonekana Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo amesaini mkataba wa Sh. bilioni 15.6 na Mkandarasi-Kampuni ya WAPCOS ya India kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 29 Bara na Visiwani. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest