Maktaba ya Kila Siku: May 17, 2019

SERIKALI KUPITIA UPYA MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS KILOSA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema wizara yake itapitia upya mashamba yote yaliyofutwa na Raisi katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro. Lukuvi amesema hayo  tarehe 16 Mei 2019 katika kata ya Chanzulu tarafa ya Kimamba wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro alipozungumza na wananchi …

Soma zaidi »

ZAIDI YA WATOTO 100 WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MACHO MLOGANZILA

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya zoezi la uchunguzi wa macho bure kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya saratani ya jicho kwa watoto (Retinoblastoma). Katika zoezi hilo ambalo limefanyika Mei 16 hadi Mei 17, 2019 zaidi ya watoto 100 wamehudumiwa ambapo baadhi yao …

Soma zaidi »

ZIARA YA WAZIRI WA NISHATI SINGIDA YALETA NEEMA KWA WANANCHI

Ziara ya siku mbili iliyofanywa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani mkoani Singida, imeleta neema kwa wananchi wa Mkoa huo kutokana na hatua za kiutendaji alizochukua ili kuhakikisha miradi mbalimbali ya umeme inatekelezwa kwa kasi na viwango, hivyo kuinufaisha jamii husika. Katika ziara hiyo iliyofanyika Mei 15 na 16, …

Soma zaidi »

DKT. ABBASI – SERIKALI INAENDELEA NA MAJADILIANO BANDARI YA BAGAMOYO

Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania. Dkt. Abbasi alisema Serikali ina uwezo wa kujenga bandari nyingi na kwa kuwa Tanzania …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFANYA KIKAO CHA KAZI NA RC, RAS, DC, DAS NA DED WOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Magufuli amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kujenga ushirikiano na uhusiano mzuri baina yao ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao. Mhe. Rais …

Soma zaidi »