- Rais Dkt. John Magufuli ameitaka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kutoa kipaumbele katika uwekezaji wa miundombinu ya mawasiliano kwa Kampuni ya Mawasiliano Nchini (TTCL) ili liweze kumiliki idadi kubwa ya minara ya mawasiliano ya simu na kumudu ushindani wa soko la mawasiliano nchini.
- Akizungumza katika hafla ya upokeaji wa Gawio la Serikali la Tsh Bilioni 2.1 kutoka TTCL, leo Jumanne (Mei 21, 2019), Rais Magufuli alisema njia pekee ya kuiendeleza TTCL ni kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali kuwa na moyo wa uzalendo wa kusimamia rasilamali za umma ikiwamo za shirika hilo.
- Kwa mujibu wa Rais Magufuli alisema TTCL imekuwa ikitumia kiasi cha Tsh Milioni 700-800 kila mwezi kwa ajili ya kukodisha minara ya mawasiliano, wakati Serikali ina mfuko wa mawasiliano kwa Wote (UCSAF) unaotoa ruzuku kwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano kwa ajili ya kujiwekeza katika miundombinu ikiwemo minara ya mawasiliano maeneo mbalimbali nchini.
- “Hili la TTCL kukopa minara katika makampuni mengine halikubaliki, Serikali ina mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) ambao wanatoa ruzuku kwa makampuni mengine ya simu lazima tulitazame upya, nataka sasa TTCL tuwape mitaji ya kutosha ili kuhakikisha kuwa linaendelea kupanua huduma zake kwa Watanzania wengi zaidi” alisema Rais Magufuli.
- Aidha Rais Magufuli aliitaka Wizara ya Fedha na Mipango kuhakikisha inaipatia TTCL kiasi cha Tsh Bilioni 30 kilichobaki kati ya Tsh Bilioni 66 ilizotoa katika mwaka wa fedha 2018/19 kwa ajili ya kupanua mtandao wa huduma zake nchini, kwa kuwa Shirika hilo limeonesha mafanikio makubwa zaidi katika kipindi kifupi tangu serikali ichukue uamuzi wa kununua hisa zake kutoka kampuni ya Airtel mwaka 2016.
- Akifafanua zaidi Rais Magufuli alisema Serikali itandelea kuiwezesha TTCL ili iweze kupanua mtandao wa mawasiliano yake nchini, na kuhakikisha kuwa linatekeleza vyema majukumu yake ikiwemo kusimamia mawasiliano ya Kimkakati nchini kupitia Mkongo wa Mawasiliano wa Taifa kufuatia kupitishwa kwa Sera ya Taifa ya TEHAMA mwaka 2016.
- Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba alisema TTCL imeendelea kupiga hatua kubwa zaidi katika utoaji wa huduma ya mawasiliano nchini ambapo katika mwaka 2018/19, shirika hilo limeweza kupata faida ya Tsh Bilioni 8.3 ambapo kiasi cha Tsh Bilioni 2.1 imetoa gawio kwa Serikali.
- “Katika mwaka 2017/18, tulitoa Tsh Bilioni 1.5, lakini kwa mwaka huu tumetoa Tsh Bilioni 2.1 ikiwa ni ongezeko la Tsh Milioni 600, hii imetokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato yetu kutoka Bilioni 119 mwaka 2017/18 hadi kufikia Bilioni 167 mwaka 2018/19” alisema Kindamba.
- Kwa mujibu wa Kindamba alisema TTCL pia imeendelea kusimamia majukumu yake ya msingi ya ikiwemo kuimarisha mfumo wa viwango vya huduma kwa mteja, kujenga uwezo wa teknolojia na miundombinu pamoja na kusimamia mkakati wa mawasiliano kupitia Mkongo wa Mawasiliano wa Taifa.
- Kindammba anasema katika kuwajengea uwezo vijana katika kujiajiri, TTCL kwa kushirikiana na Ofisi ysa Waziri Mkuu imeweza kuajiri vijana 50 waliomaliza vyuo vikuu mbalimbali nchini ambao baadae wataweza kuajiriwa na makampuni mbalimbali ya mawasiliano nchini kwa ajili ya kuongeza mtandao wa utoaji wa huduma ya mawasiliano nchini.
- Naye Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Mhandisi Omary Nundu aliishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kutokana na uwekezaji mkubwa unaoendelea kufanywa kwani katika kipindi cha miaka mitatu, shirika hilo limeweza kupata mafanikio makubwa kutokana na maono na dhamira ya Rais Dkt. John Magufuli kwa shirika hilo.
Ad
https://kupit-kvartiruspb.ru в новостройках Санкт-Петербурга. Цены и фотографии квартир от застройщика в готовых и строящихся ЖК. Подбор жилья, ипотечные программы, сопровождение сделок и выгодные предложения.
квартира от застройщика Санкт-Петербург https://kvartiru-kupit78.ru
Cериал Голяк https://golyak-serial-online.ru смотреть онлайн в хорошем качестве и с лучшей озвучкой на любых устройствах. Все сезоны истории мелкого преступника Винни и его друзей в английском городке!
Play PUBG Mobile https://pubg-mobile.com.az an exciting world of high-quality mobile battle royale. Unique maps, strategies and intense combat await you in this exciting mobile version of the popular game.
1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.
Sergio Ramos Garcia https://sergio-ramos.com.az Spanish footballer, defender. Former Spanish national team player. He played for 16 seasons as a central defender for Real Madrid, where he captained for six seasons.
Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.real-madrid-ar.com English footballer, midfielder of the Spanish club Real Madrid and the England national team. In April 2024, he won the Breakthrough of the Year award from the Laureus World Sports Awards.
Saud Abdullah Abdulhamid https://saud-abdulhamid.real-madrid-ar.com Saudi footballer, defender of the Al -Hilal” and the Saudi Arabian national team. Asian champion in the age category up to 19 years. Abdulhamid is a graduate of the Al-Ittihad club. On December 14, 2018, he made his debut in the Saudi Pro League in a match against Al Bateen
Оперативный вывод из запоя https://www.liveinternet.ru/users/laralim/post505923855/ на дому. Срочный выезд частного опытного нарколога круглосуточно. При необходимости больного госпитализируют в стационар.
Gucci купить http://thebestluxurystores.ru по низкой цене в интернет-магазине брендовой одежды. Одежда и обувь бренда Gucci c доставкой.
The most important sports news https://bein-sport-egypt.com, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading leagues.
Latest news https://android-games-ar.com about Android games, reviews and daily updates. The latest information about the most exciting games.
https://rolaks.com отделочные материалы для фасада – интернет-магазин
Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.
The inspiring story of Zendaya’s rise https://spider-man.zendaya-maree.cz, from her early roles to her blockbuster debut in Marvel Cinematic Universe.
Free movies https://www.moviesjoy.cc and TV streaming online, watch movies online in HD 1080p.
Latest news on the Vinicius Junior fan site https://vinisius-junior.com. Vinicius Junior has been playing since 2018 for Real Madrid (Real Madrid). He plays in the Left Winger position.
Discover the story of Rudy Gobert https://minnesota-timberwolves.rudy-gobert.biz, the French basketball player whose defensive play and leadership transformed the Minnesota Timberwolves into a powerhouse NBA team.
Victor Wembanyama’s travel postcard https://san-antonio-spurs.victor-wembanyama.biz from his career in France to his impact in the NBA with the San Antonio Spurs.
The inspiring story of Travis Scott’s https://yeezus.travis-scott-fr.com rise from emerging artist to one of modern hip-hop’s brightest stars through his collaboration with Kanye West.
A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.
The compelling story of Alisson Becker’s https://bayer-04.florianwirtz-br.com meteoric rise from young talent to key figure in Liverpool’s triumphant era under Jurgen Klopp.
The rise of 20-year-old midfielder Jamal Musiala https://bavaria.jamalmusiala-br.com to the status of a winger in the Bayern Munich team. A story of incredible talent.
Anderson Silva https://killer-bees-muay-thai-college.andersonsilva.net was born in 1975 in Curitiba Brazil. From a young age he showed an interest in martial arts, starting to train in karate at the age of 5.
N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.
Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.
Привет, друзья!
Купить диплом университета.
karkadan.ru/users/77829
Хорошей учебы!
Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.
Продажа новых автомобилей Hongqi
https://hongqi-krasnoyarsk.ru/special-offer/special-offer-page в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин
Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.
Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.
Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.
After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.
The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.