MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS WA COMORO

SM 1-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Spika wa Bunge la Comoro Mhe. Ousseini Abdou kwenye uwanja Mpya wa Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman leo May 26,2019.
SM 2-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akipokelewa katika uwanja wa ndege Comoro

SM 3-01

SM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza Rais Azali Assouman wa Comoro baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Visiwa vya Comoro leo May 26,20219 katika wa Uwanja Mpya wa Ominisport Malouzini Stadium Comoro.
SM
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais Azali wa Comoro na viongozi wa Serikali ya Commoro baada ya kuapishwa.
SM 7-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Azali Assouman wa Comoro baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Visiwa vya Comoro May 26,20219.
SM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Comoro Mhe. Souef Mohammed Al Amine kwenye Uwanja wa Mpya wa wa Ominisport Malouzini Stadium Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman leo May 6,2019.
SM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Comoro Mhe. Souef Mohammed Al Amine kwenye Uwanja wa Mpya wa wa Ominisport Malouzini Stadium Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman May 6,2019.

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.