Maktaba ya Kila Siku: May 30, 2019

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TPDC

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), yatakayofanyika kesho tarehe 31 Mei, 2019 jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mhandisi Kapuulya Musomba, tarehe 30/5/2019, jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi …

Soma zaidi »

MAGEUZI YA KISAYANSI YAZAA MATUNDA SEKTA YA MADINI – DKT. ABBASI

  Hatua za serikali kuhakikisha Watanzania wananufaika na rasilimali za nchi yao na kuongeza mapato zimeanza kuzaa matunda licha ya kupingwa vikali hapo awali. Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar-es-Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, amesema hatua zilizochukuliwa kwenye sekta …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA AFRIKA KUSINI, NAMIBIA NA ZIMBABWE

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amerejea hapa nchini akitokea nchini Zimbabwe ambako amefanya Ziara Rasmi ya siku 3 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa. Kabla ya kufanya ziara nchini Zimbabwe, Mhe. Rais Magufuli amefanya ziara nchini Afrika Kusini ambako pamoja na kuhudhuria sherehe za uapisho wa …

Soma zaidi »

MRADI WA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA WASHIKA KASI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James amewashukuru Wadau wa Maendeleo kwa kuisaidia Serikali kuimarisha mifumo ya usimamizi wa fedha za umma iliyosaidia kuongeza tija katika ukuaji wa uchumi wa nchi na utoaji huduma bora kwa wananchi Bw. James ametoa shukrani hizo Jijini Dodoma wakati wa …

Soma zaidi »

SERIKALI KUONDOA VIKWAZO VINAVYOATHIRI UWEKEZAJI NCHINI

Waziri wa Nchini Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji  Angellah Kairuki amebainisha mkakati maalum wa serikali kupitia utekelezaji wa BLUE PRINT wenye lengo la kuondoa vikwazo na changamoto zinazozuia ukuaji wa uwekezaji na urahisi wa kufanya biashara nchini. Mkakati huo unapendekeza,pamoja na mambo mengine,marekebisho ya sheria mbalimbali,kuondoa urasimu na uratibu mzuri wa …

Soma zaidi »