BAKITA YATAMBUA VITUO VYA KUFUNDISHA KISWAHILI NA UTAMADUNI NDANI NA NJE YA NCHI

KS
Dkt. Sewangi Katibu Mtendaji BAKITA akimkabidhi cheti Askofu Dkt. Godfrey Malassy cha utambuzi wa kituo chake binafsi cha kufundisha lugha ya Kiswahili na Utamaduni kilichopo Pretoria, Afrika Kusini.
KS
Dkt. Sewangi Katibu Mtendaji BAKITA wa kwanza kulia akiwa na  Askofu Dkt. Godfrey Malassy na  Anorld Msofe, mchunguzi wa lugha na mratibu wa mafunzo ya Kiswahili kwa wageni BAKITA wa kwanza toka kushoto.
BAKITA
Baraza la Kiswahili
Ad

Unaweza kuangalia pia

MWANAFUNZI WA MALANGALI AINGIA KUMI BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

#SisiTumeona SISI WATANZANIA TUNAWEZA Hivi sasa watoto wetu wanapata elimu bure bila malipo! ——————————— Matokeo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *