Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumlipa fidia mfanyabiashara ambaye bidhaa zake zilishikiliwa na Mamlaka hiyo tangu mwaka 2015 kinyume na taratibu. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Juni 7, 2019 wakati akiongea na wafanyabiashara kutoka wilaya …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: June 7, 2019
SERIKALI YAKABIDHI MFUMO WA USIMAMIZI WA MASHAURI OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
Serikali Kupitia Wakala ya Mtandao (e GA) imekabidhi rasmi Mfumo wa Taarifa wa Usimamizi Mashauri, kwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ili kuiwezesha Ofisi hiyo Kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi Mkubwa. Akizungumza ya Waandishi wa Habari katika makabidhiano kati ya Wakala ya Serikali ya Mtandao na Ofisi ya Wakili …
Soma zaidi »WATANZANIA WANAOISHI UK KUFANYA HARAMBEE YA KUNUNUA JENGO LA JUMUIYA
Jumuiya ya Watanzania UNITED KINGDOM -TZUK DIASPORA itafanya uzinduzi wa harambee na kampeni kubwa ya ununuzi wa jengo la kisasa kwa ajili ya jumuiya Jengo hilo linategemewa kuwa na kila aina ya huduma za kijamii na kuitangaza Tanzania nje ya nchi Akizungumzia kampeni hiyo hivi karibuni Mwenyekiti wa Jumuiya ya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA WAJADILI FURSA NA CHANGAMOTO ZA BIASHARA NCHINI
Rais John Pombe Magufuli amekutana na wafanyabiashara nchini leo Ikulu Jijini Dar es salaam ili kujadili changamoto zinazowakabili wafanyabiashara na jinsi ya kuzitatua kwa ajili ya kukuza uchumi kupitia sekta binafsi nchini. Licha ya jitihada zinazoendelea kuleta uboreshaji katika sekta ya biashara, Rais ametaja uwepo wa changamoto mbalimbali kwa pande …
Soma zaidi »BIL.8 KUJENGA SOKO KUBWA LA KISASA KATIKA MJI WA KIBAHA – BYARUGABA
Halmashauri ya Mji Kibaha ,Mkoani Pwani inajenga soko kubwa, la kisasa kwenye eneo la kitovu cha Mji litakalogharimu takribani sh.bilioni 7.3. Fedha hizo za ujenzi huo ni kati ya kiasi cha sh.bilioni 8 zilizotolewa na serikali inayoongozwa na Rais wa awamu ya tano Dr.John Pombe Magufuli ambazo zimetolewa kwa ajili ya …
Soma zaidi »