LIVE: HAFLA YA UAPISHO NA KUPOKEA MRABAHA KUTOKA AIRTEL IKULU DSM

 

  • Ikulu, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 10 Juni, 2019 awaapisha viongozi wafuatao aliowateua hivi karibuni –

1.Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara

2.Bw. Charles Edward Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe

Ad

3.Bw. Edwin Mhede Kuwa Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

  • Aidha Mhe. Rais Dkt. Magufuli anashuhudia kuanza kupokelewa kwa Fidia za kila mwezi kutoka katika Kampuni ya Bharti Airtel na kupokea Mchango Binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal kwaajili ya Ujenzi wa Hospital ya Uhuru Ihumwa Jijini Dodoma

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *