Maktaba ya Kila Siku: June 11, 2019

MUONEKANO WA UJENZI WA MIUNDOMBINU WEZESHI KWENYE UJENZI WA NEW SELANDER BRIDGE

Daraja hilo litajengwa kwa miezi 36 sawa na miaka mitatu, likiwa na urefu wa Kilomita 6.23 huku Kilomita 1.4 zikipita juu ya Bahari. Daraja litalopambwa na nguzo za zege mithili ya viganja vya mikono ya binadamu litaunganisha barabara ya Barack Obama na eneo la Coco Beach katika makutano ya barabara …

Soma zaidi »

MKUTANO WA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII KUFANYIKA NCHINI CHINA KUANZIA 19-26 JUNE 2019.

Ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Bodi ya Utalii nchini (TTB) umeandaa mikutano ya kutangaza utalii kuanzia tarehe 19-26 June 2019.Mikutano hiyo itafanyika katika miji ya Beijing(19th),Shanghai (21st) Nanjing (24th) na Changsha(26th) na kuhudhuriwa na tour operators, travel agents na media kutoka Tanzania na China. Wadau wa utalii …

Soma zaidi »

MIRADI 15 YENYE THAMANI YA TSH. BILIONI 22.9 YAZINDULIWA WILAYANI ARUMERU

Mwenge wa Uhuru umemaliza mbio za siku mbili katika halmashauri mbili za wilaya ya Arumeru ambapo jumla ya miradi 15 Kati ya Miradi 16 yenye thamani ya Bilioni 22.9 imezinduliwa, kuwekewa mawe ya msingi, na mingine kukaguliwa na kuangalia uendelevu wake Akihitimisha mbio hizo za mwenge kwa halmashauri ya Meru …

Soma zaidi »